Biashara ya samaki Tabora

Biashara ya samaki Tabora

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
127
Reaction score
82
Wakuu habari ya kazi viongozi
Nina hamu ya kufanya biashara ya samaki katika mkoa wa tabora japo siyo hapo mjini "ni senta iliyo pembeni na Mji wa Tabora"

Sasa kwa hapa tabora sijui nianzie wapi yani samaki wanapatikana wapi!

Nikijua wanakopatikana na nikajua gharama za kuzipata ndo nitajua nifanye vipi hii biashara but lazima niifanye
 
Samaki kutoka Ziwani Mwanza au Wa Bahari kutoka Dsm?.
 
Wakuu habari ya kazi viongozi
Nina hamu ya kufanya biashara ya samaki katika mkoa wa tabora japo siyo hapo mjini "ni senta iliyo pembeni na Mji wa Tabora"

Sasa kwa hapa tabora sijui nianzie wapi yani samaki wanapatikana wapi!

Nikijua wanakopatikana na nikajua gharama za kuzipata ndo nitajua nifanye vipi hii biashara but lazima niifanye

peleka dodoma mkuu, huko tabora utauchoma mtaji wako....watu wa tabora samaki zao ni migebuka na wale wanaokaangwa na mafuta ya mawese kutoka mto ugala......
 
Back
Top Bottom