Wanawake wa hivi wanapatikana mkoa gani?

Wanawake wa hivi wanapatikana mkoa gani?

Hao ni wafipa mkuu, me Mke wangu ni mfipa na hizo ndio desturi zao, wife tangu nimuoe hajawahi kuacha kunipigia magoti kwa jambo lolote either nimeuita kuja kwangu au kuniletea kitu au kunikalibisha chakula.
Basi we mshamba mshamba sana, ndio maana ukaoa mshamba mshamba, katika jamii iliyostaarabika zaidi huyo huwezi kwenda nae 😂😂; kukunja goti slightly hiyo ni sawa, ila sio kupiga goti kama unaabudi mtu Kanisani sio
 
Mambo ya magoti tena kwani tupo kanisani. Bora sina kabila na heshima ninayo ila sio ya kupiga magoti.
 
Haina neno! Hata huyo mwingine utakayemuweka naye sharti ni hilo hilo timiza majukumu yako upewe heshima yako ukitaka akusaidie majukumu yako heshima itabidi ipungue hutaki toa talaka tafuta mwingine and the process continues!

Huyo mwanamke wa kukusaidia majukumu yako na bado akuheshimu 100% kwa dunia ya sasa hayupo ukubali ukatae! Na siku hizi wanawake wengi hawababaishwi tena na ndoa wako tayari watukanwe na jamii kuliko kuukubali huo utumwa!
Sema mwanangu umekata sana tamaa ya kuwa na mume, na wish kabla mwaka haujaisha upate hata wa kuzugia, japo kwa ujeuri wako lazima mtazinguana ndani ya muda mfupi labda awe wa mserereko
 
Ndio maana ndoa nyingi zinakwama kwa mawazo kama haya.Ikibidi kusaidia kama una uwezo wa kufanya,fanya bila kulalamika na utafurahia maisha
Kwa wema gani mlionao huo wa kuwa na mchepuko halafu mke wako akusaidie maisha then mchepuko wako unaenda kumhonga bure? Wanaume wa kizazi hiki hamna shukurani!
 
Back
Top Bottom