elisha felix
Member
- Jan 9, 2026
- 41
- 84
Wateja wa matairi ya malori wanapatikana wapi?
Mapya, used au matairi mabovu ya malori unataka kuyauza, em nyooka kama mfanyabiashara.Wateja wa matairi ya malori wanapatikana wapi?
unauza bei ganWateja wa matairi ya malori wanapatikana wapi?
Aina gani na size gani?Wateja wa matairi ya malori wanapatikana wapi?
Mapya, used au matairi mabovu ya malori unataka kuyauza, em nyooka kama mfanyabiashara.
Matairi ni mapya nauza kwa bei ya jumla nipo tazara crsg companyMapya, used au matairi mabovu ya malori unataka kuyauza, em nyooka kama mfanyabiashara.
matairi ni mapya nauza kwa bei ya jumla nipo tazara crsg compan
mapya nauza kwa bei ya jumla ni ya maloriMapya, used au matairi mabovu ya malori unataka kuyauza, em nyooka kama mfanyabiashara.
nisaidie mawasiliano yakeAina gani na size gani?
Kama una super single,,,jaribu kwa Omar. nenda vingunguti njia ya bom bom kijiwe samli,,,,geiti la kwanza kulia...uliza Veera Chevula ni GM
mapya ni ya malori nauza kwa bei ya jumla tupo tazaraMapya, used au matairi mabovu ya malori unataka kuyauza, em nyooka kama mfanyabiashara.
inategemea na size na brand bei zinatofautianaunauza bei gan
Ni jirani yako hapo kwa miguu unafika....gonga geti...utanikumbukanisaidie mawasiliano yake
Nenda idara za procurement kwenye makampuni ya malori ila usiwe na mkono mfupiWateja wa matairi ya malori wanapatikana wapi?
wanapatikana wap bossNenda idara za procurement kwenye makampuni ya malori ila usiwe na mkono mfupi
ninavyo kuambia jana nameenda mpaka kijiwe saml kwenye lile ghorofa nimeuliza bodaboda hawapajui uko veera shevula mawasiliano ni ya muhimu kakaNi jirani yako hapo kwa miguu unafika....gonga geti...utanikumbuka
Inabidi ujiogeze hapo kuanzia online au nenda physically ofisi zao zilipo. Nyingi zipo maeneo ya mandela road kuelekea bandarini na mikocheni industrial areawanapatikana wap boss
sawa bas ngoja niwatafute online kwanzaInabidi ujiogeze hapo kuanzia online au nenda physically ofisi zao zilipo. Nyingi zipo maeneo ya mandela road kuelekea bandarini na mikocheni industrial area
Duuhninavyo kuambia jana nameenda mpaka kijiwe saml kwenye lile ghorofa nimeuliza bodaboda hawapajui uko veera shevula mawasiliano ni ya muhimu kaka
Una mzigo kiasi gani? Hii ni low season hivyo bei imeshuka Sana nakushauri kama huna haraka tunza kwanza mzigo wako mpaka masika ipiteWateja wa matairi ya malori wanapatikana wapi?