donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Rau Madukani kwa Mama Pendo muuza mbege
Tabora Vijijini.
Nimewaona kama hawa huko Kampala Uganda.
Idofi.Mpakani mwa Iringa na Njombe.Nahene loloo!
Kupigiwa goti sio kuheshimiwa,muda mwingine ni kupunguza kelele kwa mpgiwa got, au kufata utaratibu kutoonekana wa ajabu..Nilienda Kahama vijijini nikakutana na hii kitu wanawake wana heshima sana aisee
Wafipa wana adabu sana eeh?Hao ni wafipa mkuu, me Mke wangu ni mfipa na hizo ndio desturi zao, wife tangu nimuoe hajawahi kuacha kunipigia magoti kwa jambo lolote either nimeuita kuja kwangu au kuniletea kitu au kunikalibisha chakula.
Akienda kwa wajaluo,wanaume ndiyo hupiga goti.Kwa hiyo atakuwa kama anamuona "nkewe"?Wapi omelaaaa!?Wafipa wana adabu sana eeh?