Wanawake wa hivi wanapatikana mkoa gani?

Wanawake wa hivi wanapatikana mkoa gani?

[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] sema mwanamke akiwa na adabu inakuwa sexy sana! Sio janamke jeuri na bishi bishi
Sio kwamba kupiga goti ndo hana jeuri, hizo ni mila tu.
 
Inapendeza sana !

Sasa hivi mwanamke anakukazia macho utafikiri anatunga uzi kwenye sindano.. hapepesi macho na hata akipepesa zile kopa zao lazima uogope hauwezi kuziangalia zile kope fake bila kuogopa
Hilo linakuwa jini Sasa😂😂
 
ASEE!!! WANAWAKE WA KISUKUMA WALOFUNZWA WAKAFUNZIKA WANAHESHIMA KUPITILIZA.

MPAKA KIJANA MDOGO KABISA ANAPIGIWA GOTI NA DADA YAKE MKUBWA ALIYEMZIDI DOGO HATA ZAIDI YA MIAKA 10
 
KUNA MMOJA WA KISUKUMA MAMA MTU MZIMA, NILIENDA KUNUNUA MSOSI, KUNILETEA TUU KANIPIGIA GOTI, MAJI YA KUNYWA KANIPIGIA GOTI, NATAKA NINAWE, ANANINAWISHA KANIPIGIA GOTI.


NILISHANGAA MPAKA NIKATAKA NIMWAMBIE ACHA BASIIII, SEMA NILIVUMILIA MPAKA NIKAONDOKA. DAH!!!! SIKU HIYO NILISHANGAA SANA. KUMBE NDO TARATIBU ZAO.
 
Wapo tarime huko tata.. Au wajita + wakerewe huko mwanza visiwani jalibu kutembelea uone pia huu utamaduni
 
Back
Top Bottom