Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,810
Last edited by a moderator:
Mwana upo?
waoooh Kipipi! Karibu uwanjani.
khaaaaaaa ndio maana leo sijakuota! umbea suna kwa mwana dada eee, lol! morning chit chatters! morning my sugar babu Asprin!
Rejao ni mbunge au? Mi simjui huyo.
Rejao= kikwete
Ni kada wa chama cha mapinduzi lol.....usijali ntakuwa nakutambulisha mmoja mmoja utawajua tu......je unamfahamu klorokwini?
Si angenenepa
Rejao = Mwigulu
swtlady huyu cute hajanidanganya hapa! ?
hahahaha! Hilo jina ndio nalisikia kwako. Kumbe kuna madiesel na mapetrol humu ndani! Tusije tukalipuka! Lol.
Kesho unitambulishe basi. Tutaanza kwa Cantalisia, Rejao, klorokwini na shemeji Vin Diesel wa mwisho.
hizo namba ulizozitaja kasoro mwanangu Cantalisia zina kasoro
mara vocha! ofisini kwetu kuna mdada wanamuita vocha, tena ya tigo, wamemparamia weeeeeee kwa kupokezana, wana dhambi kha!Mara kigodoro, I hate this name.
my shemeji mwahhhh! uwe na siku njema pia! usisahau tuonanepo pande zileeeeeee!Shemeji na mi nakuwish cku njema yenye furaha tele!
alikuwa anaibilizia, keshaenda kulala huyo.......... ngoma ya watoto huwa haikeshi
Kipipi, mzima wewe?? mi mith u khaaaaa! mwahhh shostito! lol!Daah......kweli jana nilikuwa nausingizi sana japo mie ni mkeshaji mzuri tu! Alafu dingi, huyo hendisamu mshinda vijiweni asokuwa na kazi......mwambie awe dansa wa viduku aone ka hajapata pesa na kuheshimika! Mwanaume hasifiwi sura eboo! Lol
mara vocha! ofisini kwetu kuna mdada wanamuita vocha, tena ya tigo, wamemparamia weeeeeee kwa kupokezana, wana dhambi kha!
Erickb52 nimepependa hii makitu! niwekee vimacho vyangu kwenye glass kama hivyo khaaaa!Heheheee siku hizi hunioni kwenye glass ?
View attachment 58981
sasa cjui kama ni kwasababu anatoa tigo au la! ila nadhani ni kwasababu ya tigo inakwanguliwa zaidi kwa kuwa na wateja wengi! so ni VOCHA WANAMUITA, tulikuwa lunch time, yule mrembo akapita bila kuwasalimu, wakaniambia mmmhhh hebu semeni na hii vocha ipunguze kukwanguliwa, and i was like whaaaaaattttttt! khaaaaaa wakaka wakikuchoka mmmmhhhh!Ina maana anatoa tigo. Kwa huyu wacha wamwite, kajidhalilisha mwenyewe.
Vocha hahahaaaaaaaa.
Nilikumiss sana.