Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Hata uwe na sura mbaya ajabu ukiwa na pesa ya maana utampata mwanamke mzuri umpendae sura inatakatishwa na pesa bana

Hehehehe wewe bana mie nazungumzia watoto watakaozaliwa lol......wakifanana na baba imekula kwako tehe!
 
"Hee, mwanaume asiye na kazi atamtaka nani? Nani atamtaka mwanaume suruale........" Yule dada alijibu kisha wote wakacheka kwa pamoja kwa kebehi................
hii kali ya mwaka sipati picha Mtambuzi ulivotetemeka hapo pembeni mana ulikua unasali wasianze tu kukuchambua na wewe
 
Last edited by a moderator:
hata sisi tusipokuwa na kazi huwa hamtutaki siku hizi......mnataka mtone matawi ya juu mjifanye mmekufa.....kumbe hata kuzimia hamuwezi.......nyoooooooo.....tumestuka.......
Preta,majuzi nimeanza kupata hisia za kufa na kuoza juu yako.

Ps:
mwambie Erickb52 hayamhuuu.
 
Last edited by a moderator:
Preta,majuzi nimeanza kupata hisia za kufa na kuoza juu yako.

Ps:
mwambie Erickb52 hayamhuuu.

Khaaa kweli uzee mbaya asee.....sasa wewe na uzee wote huo Preta utamuweza......au unataka kufia juu ya kifua cha mtoto wa watu?......samahani hatuna rambi rambi eeh tena koma!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom