Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Hahahaaaaa humuhumu sema jukwaa ndio tofauti
Siunajua kikitaka mautamu huwa nakieleka Jukwaa la Kikubwa kinapata raha then narudi chit chat
Wewe chako huwa saangapi Catherine ?

eric mi changu huduma 24 hrz kama kituo cha polisi vile
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha uzeeke eeh....afu nilikutega kukwambia ukue lol.....wewe sahizi ukilala unazeeka tuuuu huyo mwanao hapo kwenye avatar ndio anakua tehe!

nashangaa sl, kibibi mie kuniambia nilale ili nikue kisheria haikubaliki. Nimekusamehe maana umeniambia una hangover!
 
Najua nikiwepo hamtanisema, lakin nikiwapa kisogo-kosa la mwisho..."Pakajimmy mwenyewe kumbe ndo huyu, sie tulidhani bonge la tall, kumbe kibushuti"...

Hahahaaaaaaaaaa
Wewe ni man of respect!
Hufanani na hivi vitoto ka ki Erickb52.
 
tulikua tunakuja kwako njiani Erickb52 akapiga simu na kusema hauko home so tukageuza ....kumbe ulikuwepo ,,,kweli huyu erick nimeamini anakuonea wivu sana
CUTE wajua jinsi gani nakosa raha juu yako lol
Huyo Kaizer na Asprin wamewajaza kama karanga kwenye gunia na bado mnakomaa nao lol
Njoo kwangu mtoto mzuri upate raha
 
Last edited by a moderator:
Hii ya ukweli aisee lol!
Heheheee umeona ninavyotisha eeeh
Mi ndio b52 bhana wengine chenga tu
b63.jpg
 
Back
Top Bottom