Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Hahahahaha kweli bana......tufanye uthiku mwema Catherine......shemeji ako Vin Diesel keshaanza kununa hapa....usijesema nae humjui manake ntalia lol!
yaone vile mshaugeuza uzi wangu saloon ya kuchapia umbea.................
Yaani nyie hamchagui kibaraza, ipo siku mtaigeuza mahakama ya kisutu saloon ya kuchapa umbea mkutane na Mheshimiwa hakimu mfawidhi mama Devota
 
Hahahaaaaaaaaaaaa
Bahati njema picha ipo kwenye hiyo kitu haramu kwangu.

Remmy, RemmyRemmy... tfdhali rudia hii kauli yako...
Anyway, kwa vile umesema hiyo kitu ni haramu KWAKO hapo nimekuelewa!...after all hiyo si konyagi...hence personally hainisumbui.
 
Last edited by a moderator:
yaone vile mshaugeuza uzi wangu saloon ya kuchapia umbea.................
Yaani nyie hamchagui kibaraza, ipo siku mtaigeuza mahakama ya kisutu saloon ya kuchapa umbea mkutane na Mheshimiwa hakimu mfawidhi mama Devota

Hahahahaha good night baba Ngina lol!
 
Hahahahaha good night baba Ngina lol!
Bora ukalale, maana vicheko vyenu viligeuka kero humu jf, hujui kuna watu wako bize kwenye jukwaa la siasa mida hii wanaunganisha dots
 
Twenzetu darling......jamani msiokuwa na mahusband endeleeni kuchangia mada.....mie na husband twapumzika sasa afu msichangie mada kwa sauti mtatupigia kelele!


Mmmmwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa woooooooooooooooooooooooooooote!:A S 465::A S 465::A S 465:
:A S 465:

Mimi penda nyie thanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
umelala dolo
umelala doro
mtalimbo wa Vin
umelala doro
...........song ya sweetlady kesho......kwi kwi kwi kwi....
 
Last edited by a moderator:
Ooohoioo..... Huyu Mama Ngina naye....
haya nakuja mama Ngina, niko huku sebuleni naandika ripoti ya kazini.............. nakujaaa....
 
Hapana bana shemeji yako Vin Diesel ndio wa kwanza afu wanafuatia hao wengine lol.....au uje nyumbani nikutambulishe?

hahahaha! We huogopi zile mambo za mashosti kukwapua vya watu? Haya nitakuja, mniandalie mapochopocho.
 
Last edited by a moderator:
Ooohoioo..... Huyu Mama Ngina naye....
haya nakuja mama Ngina, niko huku sebuleni naandika ripoti ya kazini.............. nakujaaa....

kwa sentensi isiyozidi moja na zisizopungua mbili uniambie topic yako inasemaje. Kesho asbh kabla cjaamka nitakuja kumwaga mapwents.
 
Remmy, RemmyRemmy... tfdhali rudia hii kauli yako...
Anyway, kwa vile umesema hiyo kitu ni haramu KWAKO hapo nimekuelewa!...after all hiyo si konyagi...hence personally hainisumbui.

Si unajua mi nakunywa nini? Mie mtoto wa askofu.
Ila wee nahisi umesalivate, lol.
Hujalala tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom