Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kuweka na kutoa pesa kwenye wallet ha ha haaaaaa
my point exactly, kazi = money = sifa kwa mwanaume. uanaume-suruali hauna nafasi karne hii
 
Heheheee haya cacico Jiangalie vimacho vyako hapo
View attachment 59004

tobaaaaaaaaaaaaaa huyo tena nani?? my babu Asprin asije andamana bureeeeeee!

Usikubali mamito huyu jamaa naona kama anataka kukufix kimtindo..... STUKA!!

168935_176969102348496_100001062216619_442358_5413509_n.jpg
 
Remmy unaweza kunidokeza ninini kinaendelea kati yako na huyu Serengeti boy, mwenye kasoro, kijana aliyekosa maadili ya wazazi, na asiye na shukrani, Erickb52 ?

Hahahaaaaaaa......
Muulize yeye, Maana ndio msemaji wa uhusiano wetu.
Usinisemee lakini PakaJimmy eeeh..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom