Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

sasa cjui kama ni kwasababu anatoa tigo au la! ila nadhani ni kwasababu ya tigo inakwanguliwa zaidi kwa kuwa na wateja wengi! so ni VOCHA WANAMUITA, tulikuwa lunch time, yule mrembo akapita bila kuwasalimu, wakaniambia mmmhhh hebu semeni na hii vocha ipunguze kukwanguliwa, and i was like whaaaaaattttttt! khaaaaaa wakaka wakikuchoka mmmmhhhh!

Kumbe ni kwaajili ya kukwanguliwa sana...hahahaaaaaaaa.
Hapa siwalaumu wanaume, tatizo ni sisi wakwanguliwaji, anyway.....hahahaaaaaaaa.
 
am missing u too! najua hakuna zaidi yako, ila uache kuniita vile vijina unavyonitungia, si umeona babu Mtambuzi anatuasa kuhusu kutungana such names eee?? mi luv u bana khaaaaa!
Oh! I wont.... please come this way my sugar cacico.... I wanna kiss you...

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Daah......kweli jana nilikuwa nausingizi sana japo mie ni mkeshaji mzuri tu! Alafu dingi, huyo hendisamu mshinda vijiweni asokuwa na kazi......mwambie awe dansa wa viduku aone ka hajapata pesa na kuheshimika! Mwanaume hasifiwi sura eboo! Lol
Hujambo Kipipi
 
Last edited by a moderator:
Nilikumiss sana.
Jana mzee aliitaka tamtam mapema eeh naona ulipotea mapema
si unajua madhara ya vibabu visivyopombeka! dozi mara tatu kama dawa, hebu sema na babu Asprin apunguze khaaaaa, ataniua mie! khaaaaaa, nilichoka Erickb52 sana jana, hizi kazi za mama ntilie wacha kabisa!
 
Last edited by a moderator:
si unajua madhara ya vibabu visivyopombeka! dozi mara tatu kama dawa, hebu sema na babu Asprin apunguze khaaaaa, ataniua mie! khaaaaaa, nilichoka Erickb52 sana jana, hizi kazi za mama ntilie wacha kabisa!
Hahahaaaa dawa yao kuviunganishia hadi vilie ndio vitakoma
 
Back
Top Bottom