teh teh teh! klorokwini ni mtu au kidonge? Lol!
Ila huyo namfahamu nilimuona twitter kumbe hadi huku yupo eeh? Mwambie namtafuta.
style ya kuhesabu nyota waijua weye?
Yupo hata kule uso kitabu.....mbona yeye unamtafuta lol!
Mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kuweka na kutoa pesa kwenye wallet ha ha haaaaaa
mbuzi kagoma,mbwa anakojoa keep left,chuma mchicha,hizo zote za vijana,vibabu tunalala chani na ku enjoy rangi ya silingi bodi.Mie naijua ile ya mbuzi kagoma na chuma mchicha.....suali la nyongeza?
:flypig:
hahaha! Mada za chit chat zinajibiwa kabla hazijasomwa. Mi hata jina la mtoa mada nasikia uvivu kulisoma.
Hahahahahaha lol......jamani mimi nimejitahidi kweli nisitoke nje ya mada ila wewe umenifanya nimetoka lol!
mbuzi kagoma,mbwa anakojoa keep left,chuma mchicha,hizo zote za vijana,vibabu tunalala chani na ku enjoy rangi ya silingi bodi.
teh teh teh! Wewe uchakachuzi upo ndani ya damu. Hii mada tutaichangia kesho full mapwenti. Au sio?
tupo jukwaa gani jamani! Kibabu bishanga vipi jamani?
msicheke kwa sauti, mtamwamsha mama Ngina, mwenyewe nimemtoroka niko huku sebuleni nasikiliza umbea wa saloon...............Hahahaaaaa hawa hawaaminiki
Unadhani watakusema ukiwa upo?
Wakiwa zao kule salun ndio wanaanzaga kulopoka utasikia
Heheheeee eti anajiita PakaJimmy lol kifua kikuuubwa nikimpata atakomaje na likifua lake lazma amsahau mkewe
Hahahahaha kweli bana......tufanye uthiku mwema Catherine......shemeji ako Vin Diesel keshaanza kununa hapa....usijesema nae humjui manake ntalia lol!
Hahahahaha kweli bana......tufanye uthiku mwema Catherine......shemeji ako Vin Diesel keshaanza kununa hapa....usijesema nae humjui manake ntalia lol!
hahahaha! Hilo jina ndio nalisikia kwako. Kumbe kuna madiesel na mapetrol humu ndani! Tusije tukalipuka! Lol.
Kesho unitambulishe basi. Tutaanza kwa Cantalisia, Rejao, klorokwini na shemeji Vin Diesel wa mwisho.
baby,nna mhemuko.tupo jukwaa gani jamani! Kibabu bishanga vipi jamani?
Tena uje kwa bed soon....nisijeitwa mwanaume suruale mie...