Wanawake na magari

Wanawake na magari

Ninekukubali tyta kwa matukio katika picha, hapo kajaribu kachemsha ndo anampigia fundi aje.

stock-photo-woman-calling-for-assistance-with-flat-tire-on-car-in-the-city-126992561.jpg
 
Am independent woman, everything in my name nimegharamia mwenyewe with my own money. Siombi mtu sitegemei mtu thank God nina uzima afya tele viungo sawia mwilini nafanya kazi napata hela natumia nitakavyo. Na tena ukisema halali najua mipaka ya money laundery sijihusishi nazo.
Ushamfaham Kasinde!!?

Mi nko single pia.
 
Aika simba. Iwa mara mapfungye nae, ngimuambuya tupu chandu aimba iha, kuore kindo kyoose pfo. Naikushela tupu!!! ngekaria ma imbia pfa womo pfo mbe kany. Leka ngieendelee iitukuo tikyi kipfa ngiwonyi wandu wafoi wawonyi kuore kindo kya uloi iha.. Pure tupu mangyi yako.

Mkuu hakuna matata, Nipo na Kasinde tunakula ujana mdogo mdogo!!!!
Ahahaha mie kimyaaaaaaa.....

Hajambo anamuulizia anti ake kila siku!!!




Haiye awae! Kazi unayo....
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhh Mentor nina ugomvi na wewe, ndo umesababisha yote haya. Nakuja kigamboni, usitoke!! Hili umelianzisha inabidi ulimalize. Dr. Tized alikuwa ametulia wewe ukamfokonyoa aliko ona sasa........
Aika simba. Iwa mara mapfungye nae, ngimuambuya tupu chandu aimba iha, kuore kindo kyoose pfo. Naikushela tupu!!! ngekaria ma imbia pfa womo pfo mbe kany. Leka ngieendelee iitukuo tikyi kipfa ngiwonyi wandu wafoi wawonyi kuore kindo kya uloi iha.. Pure tupu mangyi yako.

Mkuu hakuna matata, Nipo na Kasinde tunakula ujana mdogo mdogo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Anti anakula ujana, mwambie nakuja kigamboni namletea chama na choklet
Ahahaha mie kimyaaaaaaa.....

Hajambo anamuulizia anti ake kila siku!!!




Haiye awae! Kazi unayo....
 
hawajui ujanja unashuka kwenye gari tana kama umependeza wewe unafungua boneti unajifanya unaangalia angalia watakuja wanaume tu..... kama ni pancha unachukua jeki unajifanya kuanza kurekebisha aah bwana wakaka wa mjini wanajisogeza pole pole mtoto wa kike huku unatabasamu ..... wanawake wengi hatujui hata kukagua gari ni basi.... kazi ya wanaume hiii sisi ni kuendesha tu
Kweli kabisa maam, lakini kinyume chake ni pale mwanaume anapoingia jikoni kupika,kina dada wanakuchungulia kiudadisi kama unaweza kweli kupika chakula,ukikosea kidogo tu wanakucheka na kuusaidia upishi, Kifupi ngoma ni drooo.
 
Utamu wa Kasinde anaujua Athumani msumeno mranda mbao, wakati tuko wadogo tulikuwa tunaimba, "Athumani nipasulie mbao aliakwechee kwechee alia kwechee msumeno". Ulikuwa unamaanisha matusi yaaniAthumanianavoranda au kupasua mbao kwa msumeno ndo sawa na jamaa ana msrew Asha

ha ha ha unatisha
 
Mm cita mruhusu mke wang kuendesha gari coz wanambwembwe sn huku hawajui gharama ya gari lenyewe
 
Back
Top Bottom