Wanawake na magari

Wanawake na magari

Aisee... haya bana ila jua ukimuelimisha na kumuendeleza mwanamke umeiendeleza jamii
Mm cita mruhusu mke wang kuendesha gari coz wanambwembwe sn huku hawajui gharama ya gari lenyewe
 
Mie ni muoga kweli tena muoga fisi, I wont call ubana si unajua simu ntapita pale kwa muuza matunda nikiwa natembea nikifika Ohio naanza kukimbia thats Kasie. I know u r agood old friend. But dont welcome Mentor, ameshaniharibia hapa nina bifu nae...
Halafu ujue good friends wanatafutana hata wakipotezana hawanuniani wakijakutana tena urafiki unaendelea

Hahaha...huyo Mentor wajuana naye mwenyewe na hapo juu kakuchongea teh teh!!!

Basi nipe jukumu la kukutafuta kama hutaki nitafuta, yule jamaa wa matunda huwa hategi mingo kila siku pale bana...
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa lini Mentorameanza u class monitor kuandika majina ya waongeaji. Go ahead nitafute ila si kwa simu

Hahaha...huyo Mentor wajuana naye mwenyewe na hapo juu kakuchongea teh teh!!!

Basi nipe jukumu la kukutafuta kama hutaki nitafuta, yule jamaa wa matunda huwa hategi mingo kila siku pale bana...
 
Last edited by a moderator:
Halafu hv watu8 wewe ni daktari eehh si ndio....
 
Last edited by a moderator:
Halafu hv watu8 wewe ni daktari eehh si ndio....
 
Last edited by a moderator:
Wewe kasinde ulituletea story zako za preeeeepepepe ukiwa katika pipa unaelekea USA baada ya mshefa wako kukuita huko .... Mambo ya pichuz tupaaaaa kuleeeee! And you said you will be in USA a.k.a kwa Obama for one year! Surprising today unatuletea hizi story za barabara ya vumbi ukiwa hapa bongo! Je umerudi lini toka USA au ulikuwa unatuzingua tu? Mimi nilishakuandalia pampas as I promise you coz kwa Obama Kama uijuavyo marindaz hayana usalama na wewe ulituambia ulipiga show ya ukweeli na mshafaaa usiyemfaham na Rindazi kwishney! Nitafute shost Ili nikupe mzigo wako- pampas kabla mambo hayajakuendea kombo!
 
Back
Top Bottom