Wanawake na magari

Wanawake na magari

Habari zenu wapendwa.
Nikiwa njiani leo kuelekea kazini kuna mama mmoja tyroad hand ikaachia tairi ya mbele kulia ikakaa migulu baja.

Nikiwa kwenye foleni mama akawasha hazard na kuchukua kilongalonga probably alikuwa anampigia husband au fundi.

Mbele kidogo nikiwa kwenye hizi barabara za vumbi maana tunapita huko kukwepa foleni njia kuu. Ikapita gari mama mwingine tairi ya mbele kushotoina pancha mama hana habari anakanyaga wese tuu.

Nikajikuta nawaza wanawake wanapenda magari na kuendesha kwa mbwembwe.

Issue inakuja gari ikiharibika inakabidhiwa mwanaume. Ni kudeka au ndo kawaida maana mie gari pancha nabadili mwenyewe, na vitu vidogovidogo.

Au kwakuwa mie sina husband nimejiseti tatizo likitokea ni langu.
Kasinde kwanza nimefurahi kujua kwamba huna mume..... pili.........
 
Last edited by a moderator:
Hewalaaaaaahhhh!!!! Good brother out there.

Hayo anayoyasimulia shemejio Kasinde eti malaika watu8 kamtokea usiku akamuamuru afumbe macho akiwa anaonekana ngozi yoote kitandani na mengine mengi yakaendelea ... wala sitaki kuamini... lazima alikua anaota tu huyu.... haiwezekani ikawa ni wewe.
Nimeyaheshimu na kuyazingatia...shaka ondoa braza!!!
 
Last edited by a moderator:
Hewalaaaaaahhhh!!!! Good brother out there.

Hayo anayoyasimulia shemejio Kasinde eti malaika watu8 kamtokea usiku akamuamuru afumbe macho akiwa anaonekana ngozi yoote kitandani na mengine mengi yakaendelea ... wala sitaki kuamini... lazima alikua anaota tu huyu.... haiwezekani ikawa ni wewe.


tena nilipostuka kutoka kwenye ndoto hiyo nikasikia wimbo mzuriii unaimbwa ule ulionitumiaga hapa..................
 
We differ in our own ways, huyo anaweza akawa hujui kudeal na pancha but akawa very good in something else!,so sio ishu kivile!
 
Kimpango wangu Tig na Kas nimewakubali na wengine pia maana point hapa its lyk kujua basics kidogo ya magari tunayoyatumia japo kiasi cha mboga tuu kama kuchomeka charger kwa cmu au earphone kwa cmu mengine tuwaachie mafundi na dadiz tmk itakuwa deal poa sana maana break down haina mwenyewe mahali popote inatokea.Ila mafunzo ya JKT yalikuwa poa sana way back.
 
Back
Top Bottom