Halahala tuu usihujumu uchumi looh
Hahahaa Tized vua miwani huyu sukari ya warembo mie chumvi tukijog pamoja tunatengeneza ORS au si Doctor looh
Hapo Kwenye Red inaitwa Tie rod end. Anyway ulisharudi kutoka US??? au na huko kuna vumbi kama hapo kwenye blue?? Usinitupie mawe Kasinde
kwa nini mrembo km yule apate shida ya wese, wakati nikimpa kadi ya ofisi ataenda kinga total gas station yoyote...
hii keki ya taifa acha sote tuitafune bana, uchoyo dhambi ujue...
bora umwambie atiii...
cant wait kwa hiyo monday, ikuje haraka tu...
Kweli kabisa maam, lakini kinyume chake ni pale mwanaume anapoingia jikoni kupika,kina dada wanakuchungulia kiudadisi kama unaweza kweli kupika chakula,ukikosea kidogo tu wanakucheka na kuusaidia upishi, Kifupi ngoma ni drooo.
Trafiki unamwangalia huku unatabasamu unamwambia me yani sikujua kama ni kosa unafikiri acha .... eeeh kwa hiyo tufanyaje sasa ukishamwingiza yeye anajifanya anakutrain unamwambia bye bye kesho ukipita unamsalimia shikamoo kaka trafiki siku imepita rafiko tayar huyo
Hahahahaaa mbaya wewe usinipoteze tuu mnyamwezi mie
Wengine TZ 11 inatuhusu....lol
Loh!kwanini uteseke mrembo kama wewe?Mwenzio nimeaidiwa next week niende kuchukua mkoko wangu........lol.I cant wait
kwa nini mrembo km yule apate shida ya wese, wakati nikimpa kadi ya ofisi ataenda kinga total gas station yoyote...
hii keki ya taifa acha sote tuitafune bana, uchoyo dhambi ujue...
bora umwambie atiii...
cant wait kwa hiyo monday, ikuje haraka tu...
Habari zenu wapendwa.
Nikiwa njiani leo kuelekea kazini kuna mama mmoja tyroad hand ikaachia tairi ya mbele kulia ikakaa migulu baja.
Nikiwa kwenye foleni mama akawasha hazard na kuchukua kilongalonga probably alikuwa anampigia husband au fundi.
Mbele kidogo nikiwa kwenye hizi barabara za vumbi maana tunapita huko kukwepa foleni njia kuu. Ikapita gari mama mwingine tairi ya mbele kushotoina pancha mama hana habari anakanyaga wese tuu.
Nikajikuta nawaza wanawake wanapenda magari na kuendesha kwa mbwembwe.
Issue inakuja gari ikiharibika inakabidhiwa mwanaume. Ni kudeka au ndo kawaida maana mie gari pancha nabadili mwenyewe, na vitu vidogovidogo.
Au kwakuwa mie sina husband nimejiseti tatizo likitokea ni langu.
why would i do that...?
such a decent girl, old friend of mine siwezi kukupoteza bana sema wewe tu umejawa uwoga...
again waitin for ya call, ukinitosa this tym sikutafuti tena ng'ooo:angry:
Uko strategic nimekukubali halafu kama unabonyea kwenye mashavu ukiwa unatabasamu huku unamuangalia kwa upande jicho linavutika kama macho ya panzi na sauti sasa trfik mwenyewe anakuachia. Sheedah ukikamatwa na trfik wa kike weeh fine inakuhusu looh
Ha ha ha mwanamke akipata pancha utaona midume inavyojitolea kutoa msaada...yani wewe shuka kwenye gari afu pretend kama unapiga simu vile...lazima atajitokeza muhisani...
Kuna siku mume wangu alimsaidia dada mmoja na mimi nikiwa kwenye gari; haikuwa pancha ila kigari chake kidogo kilishindwa kupita kwenye jiwe kubwa...sikuona wivu ingawa nilimind kimoyo moyo kwa muda then nikachukulia positively...'that's how a man should treat a lady'...maana alikuwa anaangaika huyo na sisi tulishindwa kupita mpaka atoke..
On a serious note; mimi hata mume wangu habadili tairi labda tuwe porini...na vijana wa mitaani walivyojazana cha kuchafua nguo nini???