Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,536
Asante honey nitafurahi sana.nitakuwa natembea na zile nguo kabisa za kubadili nilale chini ya gar
HUTAKI CHAFUA ''SUNDAY BEST''
Asante honey nitafurahi sana.nitakuwa natembea na zile nguo kabisa za kubadili nilale chini ya gar
Ninavyodeka mtotto wa kike nianze tu kushika jeki eti nafunga tyre kwanza naona aibu.na jikon nani afanye.
Hayo Mambo mengine hawawezi . ! wanaforce na ni kutokana na haya maswala ya haki sawa kwa wote ... lakini ikija issue ya tatizo ..linakua haki kwa mwanaume.
Kwa hili neno langu si sheria, wewe sema wataka lipi atiii?
ukisema hivo huwa nawaza, ikitokea mdada yuko mwenyewe kwenye gari anaenda mahali in between safari anapata break down na anakuwa kwenye mazingira ambayo hamna watu au ni nia ambayo haipiti watu na labda ni kapori ambapo inasadikika kuna nyoka au hata fisi ambao unajua wanadhuru na jua linazama akipiga simu fundi aje atengeneze ni siku ingine. Hapo ndo huwa nawaza bora mdada anayeendesha gari walau ajue kubadili tyre ili aweze kuendelea na safari au hata ajue kucheki kama maji kwenye rejeta yapo, maji ya wiper, ajue kucheki oil, awe anacheki maji kwenye betri kama ni betri ya maji au kuiangalia kama betri terminals zimekaza au ziko loose walau ile first aid ya gari ili zaidi ya hapo sasa ndo una rely kwa fundi.
hahahahahaa kwa style hii lazima uitwe pedejeee watu8, au ndo utakuwa kama yule jamaa anayemwambia demu say my name baby, say my name, hadi demu alipotaja jina la jamaa kiufasaha ndo akaanza kuhonga, take this for no reason, take this for shopping, take this for blah blah anamwaga mibunda ya dolari tuu mweeeh
sukari ya warembo weeeeh wacha warembo wafaidi sukari yako kaka.
Wengine hata kuosha gari ni issue yeye anapenda kutumia tu kuosha mwanaume ndio apeleke carwash.
1. Kwanza, hongera kwa kuwa tumejua unamiliki gari...
2. Pili, si kila jambo ulijualo wewe wengine wanafahamu na ndio maana hata vidole vya kiganjani havifanani...
3. Tatu, hivi siku hizi hufanyi tena mazoezi ya kukimbia hadi morocco?
1. Hongera kwa kuobserve kila kinachotokea kwenye magari ya wanawake wenzio. (u know there is a saying that goes-- you always see what you want to see. So yawezekana umeona wanaume wana pata pancha ila "hujaona"-they werent in your preference list.
2. Yaonyesha unapenda kupepesa macho kuangalia kina dada wenzio wanaendesha magari gani and what will soon go wrong.
3. Kama watu8 alivyosema--si kila mtu anaweza kuwa kwenye "your expected role list" kwamba kila dereva anajua kubadili pancha - yawezekana wewe unaweza kwa kuwa gari lako linapata pancha. Mwingine ana tairi very durable kwa miaka 3 hajawahi kupata pancha so why should he/she bother knowing something that may never happen?
4.Ubinafsi: Sijaona kwenye uzi ukionyesha kama ulimsaidia zaidi umekuja kumsema hapa ; maana umesema unajua kubadili , vipi ungeoffer kumbadilishia tairi , labda angapata shauku ya kujifunza siku za usoni kuwa mdada mwenzangu anajua , let me try as well
Hahah...we si wakimbia hata joggin hutaki
Wafanya nichungulia kwa my nissan halafu waishia kupata krashi...
HUTAKI CHAFUA ''SUNDAY BEST''
![]()
Mkuu labda tungejua kwanza hilo gari amelinunua kwa hela halali au kwa "kutokukalia uchumi"!
Mimi mke wangu nilianza nae relation baada ya Gari lake kupata pancha na Mimi nikamsaidia kubadili tyre pale Stanbic karibu na Sealander Bridge, mpaka Leo ni nae na life inasonga
Mwanamke anaenda ofisini ameupara na kimini na rangi za gharama kwny vidole then anyanyue jeki? No way kwa hili ht mke wangu nitamtetea