Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
- Thread starter
- #81
Umenikumbusha sister angu mmoja alisha wahi kunokisha engine ya gari hata haina week... kisa kajifanya siku hiyo kufungua boneti kaweka maji kasahau kufungu mfuniko... kakanyaga mafuta na safar zake mpaka gari likazimika
Eeeeehhh huyo alitoa mpyaaa, tena umenikumbusha wengine wanaendesha gari kila siku ila ikija kulifanyia service anataka mwanaume ndo alipeleke gereji, au mwengine maji yameisha kwenye rejeta wala hashituki, mshale wa kuonyesha engine inapata moto uko juu kwenye red yeye wala hashituki anakanyaga mafuta tuu matokeo yake engine inachemsha yaani.