Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

Kunywa pombe Ni upumbavu...

Prove me wrong..
Nipe faida tano za pombe..!!
mimi sio mlevi
and, sio mnywaji hata kidogo
zaidi, nipo against pombe..

Ila.., miongoni mwa faida za pombe, kuupa mwili joto..
wenzetu wa kwenye nchi zenye baridi kali, mra nyingine hutumia pombe ikiwa ni moja ya mahitaji ya joto..!

mfano hai; katika ajali ya TITANIC kuna mtu aliokolewa akiwa hai anaelea. Hakufa kwa baridi kama wengine kwa sababu huyo jamaa hakuwa akinywa pombe nyingi ili kuupa mwili joto wakati akisubiria msaada uje..!

ONYO;UTUMIAJI WA POMBE NI HATARI KWA AFYA YAKO..
 
Kibongo bongo tutasema bora mwanaume ndo awe mlevi kwa sababu tunaamini mwanamke ndo anahusika kwa malezi ya mtoto zaidi. But ikifika stage mtu anakunywa hadi ufahamu wake unapotea, then haifai kunywa whether ni mwanaume au mwanamke. Kila mzazi anaplay part fulani kwenye malezi, so ikitokea ulevi wa mtu unaathiri hadi malezi yake kwa familia ni mbaya. Nimeshaona familia ambayo mama ni mlevi wa kutupa but Mungu aliwapa a very responsible father, ile familia watoto wamelelewa vizuri tu. Nimeshaona familia ambayo baba ni mlevi wa kutojitambua haha jamani, usiombe tu mzazi wako akawa mlevi hadi kutojitambua. Madhara ya ulevi hayana jinsia, utadumbukia pabaya na kujiangamiza mwenyewe. Kama unakunywa hadi kubeba/kumbeba yeyote utakayemuona mbele yako migonjwa itakuita tu, kama unalewa hadi unasahau majukumu yako kwenye familia, utajiangamiza wewe mwenyewe na possibly na familia yako yote. Ulevi ni mbaya
As expexted, I never had a doubt about ur answers..!

SIMPLE QN; Is Alcohol Good?
SIMPLE ANS; No.
 
Mara nyingi wanaume wasiotumia kilevi ni wazuri katika maisha ya ndoa kuliko anayetumia kilevi. Nao wapo wachache sana. Mwanamke anayetumia kilevi akimpata mwanaume asiyetumia kilevi itamsaidia kuachana na kilevi. Mimi binafsi nawaona wana hekima zaidi!
 
Mkuu ubarikiwe,neno PIMBI ni jibu tosha kabisa,mwanaume mzima unakunywa juice?,ndo maana kila kukicha mademu wanakuja humu kulalamika eti hawakojoi,watakojoaje sasa?,limwanaume limekunywa Fanta na chips kuku,eti ooh baby leo nimemwaga haraka coz umependeza sanaaa,ebooooo pumbafu nini wewe,unywe Fanta halafu usingizie kapendeza?,umemuacha mwanamke na kiu katikati ya jangwa la sahara?,piga vitu vya moto wewe kenge ili umpatie raha huyo kiumbe wa kike au vipi?,hujiulizi kwa nini alipasuliwa mfereji pale katikati,na wewe ukapewa mtwangio ulionyanyuka?,inatakiwa mtwangio ufanye kazi yake kwenye ktmba,sio kumwagia mauji yako yananuka kama nyama buchani kenge wewe au?

Pole mkuu,ikishndkana kubust kwa pombe jaribu supu ya pweza
 
Kwani inahitaji ujasiri gani mtu kuwa mlevi?? Ukiamua si hata kesho tu unakuwa mlevi??
Geuza shilingi upande wa pili, muambie mlevi aache pombe kesho kama anaweza!!

Meaning... Inahitaji ujasiri kutokuwa mlevi (asiyetumia kilevi ni Shujaa)
Ila mburula yeyote ana uwezo wa kuwa mlevi akiamua (kutumia kilevi ni weakness)


Ni maoni tu, nothing serious! Dont take it personal [emoji23] [emoji23]
Waambie hao mapimbi, maana udhaifu wao huuona ni ujanja.
Dunia haiishi vioja
 
Kama pombe sio starehe yako basi sharti utakuwa na starehe nyingine na more likely... utakuwa unapenda chini baraaaa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom