Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Hahaha. ..Mbona kawaida tu
Kiukweli tu wanawake wachache sana ndio wanaokerwa na wanaume wanywaji/waleviMe nawaheshimu sana aisee, yani mtu anywe afu anisogelee kuniongelesha hehehe
HahaahhaSi nakufahamu wewe mdada wa kilutheri? [emoji12]
Upo katika advantaged category,Mfano Umetoka Na Mtu Ambaye Labda Umevutiwa Naye Alafu Unaagiza Bia Au Spirits Yoyote Yeye Anachukua Juice Au Any Non Alcoholic Stuff,Or Katika Kupiga Stori Inaturn Out Hatumii Mnatuona Kama Tuko Weak Au Mnatuonaje??
Huu ni ukweli kabisaHivi kuna influence kubwa ya kupenda chini kuliko pombe? Mbona wengi wakishakunywa ndio tamaa ya wanawake ina triple?!! Labda kama mnazungumzia mlevi ambae analewa hata akipata mwanamke hawezi kufanya chochote lakini social drinking mara nyingi huchochea tamaa za wanawake.
Amen.napenda sana mwanaume asiye kunywa pombe aisee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] .......vipi kwani..???...nani anajali hata mnywe mavi?kuleni hata vinyesi vyenu hatujali kunyweni mikojo yenu hatujali
naona unaamini ktk msemo wa samaki mmoja akioza ktengani...... mtoe mtupe waliobaki wazima ....stupid and nonsense quiz session? who cares about stupid mens life!all of you go and roast in hell!
hahahaaaNimemuuliza shemeji yako hapa amenijibu anawachukulia kama mapimbi.
AsanteAmen.
Aisee me nakereka to the core. But as long as haunihusu na kila mtu ana choices zake, basi tugawane tu ustaarabu, ukinywa tu please don't talk to me. Lile liharufu la pombe, hugo gujicho ntakaokutolea kabla sijafungua kinywa changu teh. Mwingine ndo anakurudia asubuhi na domo lake limechacha afu akukiss ptuuuuuKiukweli tu wanawake wachache sana ndio wanaokerwa na wanaume wanywaji/walevi
Halafu hata mwanaume akimwambia kabisa kuwa anatumis pombe ni kama huyo mwanamke hashangazwi kabisa au anaogopa kumwambia jamaa kuwa "sitaki utumie pombe"
Kidg zamani ukimfuata tu binti lazima kwanza umwambie kuwa hunywi pombe, kwa kuogopa kuachwa lakini sikuhizi sivyo
Halafu ukimwambia gal unatumia "Wine" anaweza kukuona kama mjanja flan hivi.
sasa ndo nini hicho kinachokutoka kinywani???nani anajali hata mnywe mavi?kuleni hata vinyesi vyenu hatujali kunyweni mikojo yenu hatujali
Mm nakunywa Mr hanywi.. Na hatujawahi kugombana sababu ya hilo..na hata nikiwa mahali alon o wit friends namwambia...atapita atasalimia au atakaa ataondoka..
Nikitaka kugongwa nje nagongwa kweupe bila kunywa hata lepe
Mtampoteza na kisukari huyo.
[emoji101]Aisee me nakereka to the core. But as long as haunihusu na kila mtu ana choices zake, basi tugawane tu ustaarabu, ukinywa tu please don't talk to me. Lile liharufu la pombe, hugo gujicho ntakaokutolea kabla sijafungua kinywa changu teh. Mwingine ndo anakurudia asubuhi na domo lake limechacha afu akukiss ptuuuuu
Kumbadilisha mtu eti aache pombe kwa kumwambia tu eti "sitaki unywe", mara nyingi ni kama kujitengenezea bomu litakalokulipukia. Hatoacha kunywa kama yeye mwenyewe hajaamua kuacha kunywa kwa sababu anazoona yeye
Afu sielewi Kwa nini tunapenda kuassume kuwa wasiokunywa wote ni malaya, humu si tunasemaga "all men cheat", mbona wanaokunywa tunataka tuwatoe humo? Yani wanaume wengi ni wanakunywa na still ni vitombi balaa, utaamua mwenyewe