Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

a684b3088c5ccf1c189cd42be1052ae9.jpg
unachukuliaje
4df551a8146af8d8177f184f30e55fa4.jpg
watakuchukuliaje
6bbd167ff0dd0c4beae3b004ef3bd8b0.jpg
ukiathirika je vipi pia utajisikiaje
Umemaliza.
 
kwa bahati mbaya ni kwamba, wanaokunywa pombe wapo katika nafasi kubwa ya kucheat kuliko wasiokunywa pombe....tena bore mtu acheat akiwa sober kuliko akiwa amelewa. hao wanaocheat wakiwa wamelewa wanacheat na mabaamedi, machangudoa, na wanawake walevi wenzao ambao huwa hawajijali, hawatumii kinga, wanafanya hayo mambo akili ikiwa imesafiri haipo. kuna utofauti mkubwa kufanya jambo ukiwa umelewa na kufanya jambo ukiwa sober. kuna utofauti mkubwa kulala na mtu anayeuza bar ambaye ikifika saa sita usiku akiambiwa na mnywaji njoo uchukue buku ten hapa nataka ukae karibu yangu niwe nakushika papuchi tu basi tu (nimeshuhudia hilo) anakubali, yuko pale kutafuta wanaume wa kulalanao kwasababu alfu hamsini kwa mwezi anayolipwa na mwenye bar ni kisingizio tu.

walevi wengi, hasa wale wanaolewa hadi wanabebwa, wana hatari hata ya kulawitiwa. (studies says so). walevi wengi, hawana malengo, ukiona amefanya maendeleo ujue mke wake ndio ametawala familia na ndiye anayefanya maamuzi, ila mlevi akiachiwa kufanya maamuzi, anawaza pombe tu. inakuwaje mtu na akili zako unakunywa bia 10, hizo ni lita ngapi? zinaingia mwilini, ni ngano viroba vingapi hivyo vinaingia mwilini, kisukari kikikupata unalalamika, pome inaumiza maini pia, na inadhoofisha mwili. kuna hasara kubwa sana kunywa pombe kuliko kutokunywa. sinywi pombe, sihitaji kunywa hata siku moja.

wewe unapoondoka jioni kwenda kwa washikaji bar, unaenda kuteketeza laki nzima ya kunywa wewe na kuwanywesha washikaji wanaokupamba, plus keep chenji za bar medi, ....mimi hiyo laki kama sijanunua mfuko wa sumenti basi nimenunua makuku ya kienyeji na zawadi kwa watoto wangu. narudi zangu home saa mbili kamili (mara chache nazidisha saa mbili labda kama kuna sababu), nafika pale watoto hawajalala, nacheza nao, nawakagua homework, nawaangalia wanavyokula chakula....wanafurahia uwepo wa baba, wanaenda kulala, mimi naendelea kubadilishana mipango na mke wangu hadi saa nne usiku tunaenda kulala. kwasababu niko mkoani, naamka saa moja kamili, naonga navaa, saa moja na dakika ishirini naondoka nafika kazini saa moja na nusu au saa mbili kamili. nafanya kazi akili imetuliaaa, hadi saa kumi na moja jioni. naondoka napitia vimiradi na sehemu mbalimbali, saa mbili kasoro au saa mbili kamili lazima niwahi taarifa ya habari home ndio kipimo changu. maisha yangu ndio hayo, na pamoja na kwamba sinywi pombe, sio malaya kuwazidi rafiki zangu wanaokunywa. ndoa yangu ina furaha kwasababu mdua wote tunaishi kwa kureason tukiwa sober, hatuendeshwi na akili ya kulewa. tunajadili na kupeana challenge kwa hoja, hatugombani, mwisho wa siku tunapeana tunda tunaendelea na ndoa. sio unatoa hoja mwingine kalewa haelewi kinachoendelea. kuna jiran yangu kila siku analetwa na watu wanaendesha gari yake hata kuendesha anashindwa. ni addiction mbaya sana.
Nafikiri walevi watakuwa wamekusoma, ingawa nahisi wamesonyaaaa. Barikiwa sana mpendwa
 
unaamka,unaoga unavaa unacheza unaenda unarudi gazeti kubwa lakini hujui maana ya neno "ulevi

Kwako cha muhimu ni mfuko wa cement?-Do not judge!
 
Binafsi naona hamna shida, kila mtu ana vitu anavyovipenda.
Pia ulevi Sio mzuri kiafya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom