Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

Nimemuuliza shemeji yako hapa amenijibu anawachukulia kama mapimbi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu ngoja nika pombeke pale club chiller, kisha nisakate na band aiseeee.....
 
Huwa napata shida sana kueleza kuwa sinywi pombe,sivuti chochote na si mgonjwa wa papuchi!

Wengi wanaamini kama hunywi lazima utakuwa unalewa papuchi.
Mimi sinywi na wala sijawahi kunywa kileo cha aina yoyote. Sinywi kinywaji chochote zaidi ya maji,chai,au juice ya kutengeneza nyumbani au uji ikitokea. Sijui soda,energy drinks,juice za kopo hua situmii. Sio shabiki wa mpira wala michezo yoyote labda kidogo mieleka kwa mbali.

Situmii aina yoyote ya madawa ya kulevya kama bangi,sijui mirungi,cocain,heroin,nk.

Kusema kweli mimi ni mlevi wa watoto wazuri wenye mikia ya maana.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Daaah, hapa kumbe wengi ni msala.

Ilaa kuna siku nilikuwaa napiga story na warembo flani, walianzisha wao story tu , kuhusu kunywa.

Nilivyo waambia sipigi kilevi chochote walichosema ni nouma
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Mimi sinywi na wala sijawahi kunywa kileo cha aina yoyote. Sinywi kinywaji chochote zaidi ya maji,chai,au juice ya kutengeneza nyumbani au uji ikitokea. Sijui soda,energy drinks,juice za kopo hua situmii. Sio shabiki wa mpira wala michezo yoyote labda kidogo mieleka kwa mbali.

Situmii aina yoyote ya madawa ya kulevya kama bangi,sijui mirungi,cocain,heroin,nk.

Kusema kweli mimi ni mlevi wa watoto wazuri wenye mikia ya maana.
yanatuhusu nini ? hayo ni maisha yako so what? nani anajali .
 
Kwani inahitaji ujasiri gani mtu kuwa mlevi?? Ukiamua si hata kesho tu unakuwa mlevi??
Geuza shilingi upande wa pili, muambie mlevi aache pombe kesho kama anaweza!!

Meaning... Inahitaji ujasiri kutokuwa mlevi (asiyetumia kilevi ni Shujaa)
Ila mburula yeyote ana uwezo wa kuwa mlevi akiamua (kutumia kilevi ni weakness)

Ni maoni tu, nothing serious! Dont take it personal [emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom