Haaaaaaa basi njoo tuish wotesijaolewa!
kupika wote mpaka ubwabwa unuke ndevu!! [emoji23]
Haaaaaaa basi njoo tuish wotesijaolewa!
kupika wote mpaka ubwabwa unuke ndevu!! [emoji23]
Uboya huo.kata maji wewe dogo.mchungaji Wako mwenyewe mzee wa upk anapiga fungi.tena anapiga bapaMkuu hata mim situmii pombe,.usi feel inferior kutokunywa pombe
Hyo shemeji cyoNimemuuliza shemeji yako hapa amenijibu anawachukulia kama mapimbi.
leta mahari kabisaHaaaaaaa basi njoo tuish wote
Hahahaaaaaaa ati chiller machagudoa wa pale si wa mchezo aiaee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu ngoja nika pombeke pale club chiller, kisha nisakate na band aiseeee.....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Uboya huo.kata maji wewe dogo.mchungaji Wako mwenyewe mzee wa upk anapiga fungi.tena anapiga bapa
Mimi movies na IDx yani hiyo ndiyo pombe yanguSio Wewe Tu.Atleast Mimi Mpira Kidogo UnasaidiA
Embu nikuje tumpombeke wote uonje na raha ya mleviKuna raha sana kuwa na mwanaume asiyetumia kilevi haswa na wewe ukiwa hutumii me ni mnywaji ila katika wanaume nliowahi kudate nao sijawahi kupata anayetumia kilevi natamani sana namimi niache japo inaniwia vigumu kila nkiacha narudia aisee wana raha Sana hawa wasiotumia kilevi
Same here,nmezungukea na wanywaji lakini sijawahi onja,mi nimwendo wa energy drinks tu na juisi na malt.potelea mbali acha nionekane mshamba tuMimi uzuri marafiki zangu wengi wanajua sigusi kilevi tatizo linakujaga pale tunapokuwa "out" wenyewe wanaagiza "bucket" zao mimi ni maji au non-alcoholic drink eg. Grand malta.. sometimes waiter anabaki kunicheka lakini ndio maisha niliyo chagua..
Hichi sio kilevi bana ....msijipe moyo....kwa mfano mimi napenda soka..lkn ulevi wangu ni pombe na .......!Moja ya vileo vyangu ni jf, umelenga.
Ahaa nko kwenye mkakati wa kuacha kabisaEmbu nikuje tumpombeke wote uonje na raha ya mlevi
Mkuu....Hahahaaaaaaa ati chiller machagudoa wa pale si wa mchezo aiaee
Kila mwanamke ana kilevi chake piaKila mwanaume na kilevi chake