Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

Kwani inahitaji ujasiri gani mtu kuwa mlevi?? Ukiamua si hata kesho tu unakuwa mlevi??
Geuza shilingi upande wa pili, muambie mlevi aache pombe kesho kama anaweza!!

Meaning... Inahitaji ujasiri kutokuwa mlevi (asiyetumia kilevi ni Shujaa)
Ila mburula yeyote ana uwezo wa kuwa mlevi akiamua (kutumia kilevi ni weakness)


Ni maoni tu, nothing serious! Dont take it personal [emoji23] [emoji23]
Jibu murua. Ni rahisi kunywa kuliko kutokunywa au kuacha.
 
Huwa napata shida sana kueleza kuwa sinywi pombe,sivuti chochote na si mgonjwa wa papuchi!

Wengi wanaamini kama hunywi lazima utakuwa unalewa papuchi.
Mimi uzuri marafiki zangu wengi wanajua sigusi kilevi tatizo linakujaga pale tunapokuwa "out" wenyewe wanaagiza "bucket" zao mimi ni maji au non-alcoholic drink eg. Grand malta.. sometimes waiter anabaki kunicheka lakini ndio maisha niliyo chagua..
 
Nimemuuliza shemeji yako hapa amenijibu anawachukulia kama mapimbi.
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] kweli w n sumu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huwa napata shida sana kueleza kuwa sinywi pombe,sivuti chochote na si mgonjwa wa papuchi!

Wengi wanaamini kama hunywi lazima utakuwa unalewa papuchi.
yaani from experience, kama hanywi pombe basi 8/10 ni papuchi kwenda mbele.
 
Mara nyingi kuna kujiuliza ni lipi anapenda

Inaweza ikawa ku do au bange au ana matatizo ya afya.

Au mtamu kitandani au bomu haswa na msumbufu, hapo ni kama hata hapendi mpira wa miguu na mengineyo.

Kimoja mdomo waje kwa denda lazima uwe na super utamu, kuonyesha anajipenda sio kunuka sabbau ya matatizo.
Hahahahhah non alcoholic non football non womanizer (1 tu kwa afya).. Surely somtym huwa najishangaaga mwenyew
 
Huwa napata shida sana kueleza kuwa sinywi pombe,sivuti chochote na si mgonjwa wa papuchi!

Wengi wanaamini kama hunywi lazima utakuwa unalewa papuchi.
Hahahahhah same problem afu ukizingatia mchaga sasa.
 
Wewe haunywi pombe halafu mkeo anakunywa
umesafiri unamuuliza uko wapi anakujibu nipo hapa pub napata mbili tatu kabla sijaenda kulala
Mm nakunywa Mr hanywi.. Na hatujawahi kugombana sababu ya hilo..na hata nikiwa mahali alon o wit friends namwambia...atapita atasalimia au atakaa ataondoka..
Nikitaka kugongwa nje nagongwa kweupe bila kunywa hata lepe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom