pistmshai
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,313
- 3,689
Hapana Kwa Kweli..Teh morning.
Vipi unapiga maji?
Labda ya Kunywa tu..
Hapana Kwa Kweli..Teh morning.
Vipi unapiga maji?
Aaaah basi hongera sanaHapana Kwa Kweli..
Labda ya Kunywa tu..
asante..Aaaah basi hongera sana
Walevi ndio huwa msemo wao wa kujisafish wakati ulevi wa pombe una uhusiano mkubwa na ulevi wa papuchi, so hata usijisikie vibaya kusema hautumii kilevi chochote.Huwa napata shida sana kueleza kuwa sinywi pombe,sivuti chochote na si mgonjwa wa papuchi!
Wengi wanaamini kama hunywi lazima utakuwa unalewa papuchi.
Hivi wanaume walikufanya nini miss natafuta!! Maana sio kwa kuwachukia huko!!stupid and nonsense quiz session? who cares about stupid mens life!all of you go and roast in hell!
Kweli kabisa.Kwani inahitaji ujasiri gani mtu kuwa mlevi?? Ukiamua si hata kesho tu unakuwa mlevi??
Geuza shilingi upande wa pili, muambie mlevi aache pombe kesho kama anaweza!!
Meaning... Inahitaji ujasiri kutokuwa mlevi (asiyetumia kilevi ni Shujaa)
Ila mburula yeyote ana uwezo wa kuwa mlevi akiamua (kutumia kilevi ni weakness)
Ni maoni tu, nothing serious! Dont take it personal [emoji23] [emoji23]
Kibongo bongo tutasema bora mwanaume ndo awe mlevi kwa sababu tunaamini mwanamke ndo anahusika kwa malezi ya mtoto zaidi. But ikifika stage mtu anakunywa hadi ufahamu wake unapotea, then haifai kunywa whether ni mwanaume au mwanamke. Kila mzazi anaplay part fulani kwenye malezi, so ikitokea ulevi wa mtu unaathiri hadi malezi yake kwa familia ni mbaya. Nimeshaona familia ambayo mama ni mlevi wa kutupa but Mungu aliwapa a very responsible father, ile familia watoto wamelelewa vizuri tu. Nimeshaona familia ambayo baba ni mlevi wa kutojitambua haha jamani, usiombe tu mzazi wako akawa mlevi hadi kutojitambua. Madhara ya ulevi hayana jinsia, utadumbukia pabaya na kujiangamiza mwenyewe. Kama unakunywa hadi kubeba/kumbeba yeyote utakayemuona mbele yako migonjwa itakuita tu, kama unalewa hadi unasahau majukumu yako kwenye familia, utajiangamiza wewe mwenyewe na possibly na familia yako yote. Ulevi ni mbayaasante..
eti..! kuna uhafadhari wowote kati ya mwanamke mlevi na mwanaume mlevi?
Mbona unawajibia na wenzionani anajali hata mnywe mavi?kuleni hata vinyesi vyenu hatujali kunyweni mikojo yenu hatujali
Hahahha hata mimi kama ww ila kasoro kwenye watotoMimi sinywi na wala sijawahi kunywa kileo cha aina yoyote. Sinywi kinywaji chochote zaidi ya maji,chai,au juice ya kutengeneza nyumbani au uji ikitokea. Sijui soda,energy drinks,juice za kopo hua situmii. Sio shabiki wa mpira wala michezo yoyote labda kidogo mieleka kwa mbali.
Situmii aina yoyote ya madawa ya kulevya kama bangi,sijui mirungi,cocain,heroin,nk.
Kusema kweli mimi ni mlevi wa watoto wazuri wenye mikia ya maana.
We mzuri sana. Aliyekuzaa na utakayeoa wana faida.Huwa napata shida sana kueleza kuwa sinywi pombe,sivuti chochote na si mgonjwa wa papuchi!
Wengi wanaamini kama hunywi lazima utakuwa unalewa papuchi.
Ww ndo hauna Time nao wenzako wanawajari ndo maana wanawajibu hapa..., kama ww huna time nao shauri lako....kunywa au kutokunywa kwenu pombe sisi tupate feeling? how? for what? who cares? kunyweni hata mikojo ya shetani hatuna time na nyie si maisha yenu?
stupid and nonsense quiz session? who cares about stupid mens life!all of you go and roast in hell!