The Voice (non-fictional)

Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,782
3,908
Hello MMu, "USHAURI WENU UNAHITAJIKA THO STORI NDEFU NDEFU KIMTINDO"
1st time kupost humu tho naitumia jf Zaidi ya 10 years as non member na member.To cut story short
Nna story,kama fanani nawakaribisha hadhira yangu,kamatia Fursana yako ya bariiidi turindime mwanawane-

Disclaimer;THIS STORY MIGHT FIT MTU UNAEMJUA AU WEWE MWENYWE SO TAKE IT EASY.SI PROMOTE BIASHARA YA MTU AU YA KWANGU WALA SIGAWI UJUZE WOWOTE,COMMENT KUHUSU MAHUSIANO TU. (epuka matapeli)

Hii story inamhusu mdogo wangu ambae mda mwingi sababu ya kazi za hapa na pale hua nipo nae.
Ilianza pale nlipo notice kila tukiwa tunapita mwanza,ananiuliza hi ndo njia ya S.A.U.T.I (chuo) namjibu ndio then nabaki najiuliza why daily tukipita hapa ananiulza same question,
Siku moja tunapita same road kabla hajaniuliza nkakunja ile kona kuelekea kule (wenyeji watakua wanaijua) nkaona bwana mdogo kashtuka kama katoka usingizi,akauliza bro tunaenda wapi huku,nkamjbu tunapita dukani kwa jamaa zangu mara 1.
Mawazo yangu nljua dogo ana stess za x wake mmoja hivi ambae dada zake nilisoma nao na kufanya nao kazi kadha (dogo sijui alijiongeza vipi kwa uyo mdogo wao mpaka wakadate) .
Tulipofika maeneo ya madukani,ni karbu na one way kwenda geti la chuo,nkashuka nkamuacha dogo kwenye gari,nkaenda duka bahati nzur nkamkuta mdogo mtu (ambae ndo alkua na mahusiano na dogo) na msaidizi wake.tukapga story mbili 3 na mdgo wangu huyu,sababu kulkua na vitu vya kike tu nkanunua kadha (zawadi za emergency) then nkamwambia dogo hussi unajua nmekuja na wayne yupo kwenye gari,akshtuka akasema kweli,nkammwabia twende,, tukamkuta dogo langu amesmama nje ya gari anaangalia uelekeo wa chuo,kugeuka akakutana na x wake hussi, to cut story short wakakumbatiana,salam za hapa na pale,dgo hakua happy kiivyo ila hussi ndo alifurahi sana mpaka akafunguka kua amemmiss sna,bhas tu anajuta kuzaa na mtu mwingine mapema bllaa blaa kadha then tukasepa madgo wakipeana ahadi (najua ahadi hewa-hatutakua tena mwanza) watapelekan rock city mall weekend.
2 days later tulkua tunaenda office za darlux sikuamin as usual dogo akauliza hivi ndo hapa kona ya kwenda sauti,nlkereka ila nkakakusha,tukaenda na mishe zetu ila jioni tukatafta glossary nkakaa na bwana mdgo nkaamulliza, ‘wayne,vp daily unauliza njia ya chuo tukiwa mwanza,au husii hasomeki nini’ dogo akacheka akasema hamna,wala sina time na hussi ,ntakuchana.
After 1 hour hivi vilaji vishatuchangamsha,dogo aksema unajua brother rooney,I f*cked up a lot,nkamuuliza kiaje dogo,akasema bro,I had feelings for a girl Zaidi ya 5 years kumwambia nlishndwa ila mwshoni nkaharibu kabisa,nkabaki mkmya afunguke vizuri maana najua akili zake zmepevuka maana sio mdgo sana,n dogo ambae alshamaliza college years before, akapga puff kadhaa za spirit aksema ngja nkupe story bro’

FLASHBACK-dogo wayne anafunguka


Kipindi namaliza 6,kuna a girl named Zoobae binti Lion nltokea kumpenda toka yupo o level but nkawa nasklizia akue kue ,but that time kitaa (DSM) hakuna mtu aliekua na time nae,hta friends wangu nlipowachana nmefall kwa mtoto wakawa wanacheka tu,ni mwembamba ,too black blaa blaa kbao but skua nasklza kelele zao,nlkausha but kmyakmya nkawa namfatilia facebook enzi izo iko hot,insta bado bado,then alipomaliza form 4 ndo nkaanza harakati za pimbi,taratibu kuomba namba,kuchat nae mara moja moja maana hakua free kiivyo.
nakumbuka ile day anaenda shule (advance last semi) akanchek njoo restaurant flani ya karibu,nlkua na bi mkubwa tunaenda town,nlmkmbia ussain bolt akasome kumuwahi mtoto,
Alkua ndani ya uniform.tulispend mda kidogo aksema wayne nlkuita nkuage naenda school,sirudii mpaka nimalize maana hamna tena likizo,I was so happy coz kwa mara ya kwanza nliona kanotice uwepo wangu ,I rem washkaji inya walikuwepo wanacheka kmy kmy iddnt give a f*ck,nkamuescot my crush mpaka kanjia kwa kwenda kwao,akanipa mkono (yes,mkono,no kiss,no hug) wa bye bye akazama kwao.
By the time anarudi likizo ya 6 me nlkua nshaanza college namalizia,siku namuona nlkua happy na little disappointed,maana nljua akrudi atantaarifu ila wala,hata tulipoongea nkamuuliza umerudi lini akasema ana a week mjinibna wala hakunotice my face ilpoonyesha disappointed wala hakugundua a week na hajaniambia km karud it was just okay to her.
Nkaja gundua kitaa nna competition kubwa as time goes,hata wale waliokua wanamponda na kumcheka et nao wamefall,na kumtamani tho nikitu km mtoto wa kiume unakausha tu,et nlkua nawaza destiny ilituleta tuwe together ah ah ah.
Hivi na vile mtoto akaanza process za ku apply chuo,by this time mtoto alkua ananakuja home anavyopenda,ilfika hatua hta dgo langu la kike na mama wakajua yule ndo mkwe wao ah ah ah kumbe ndege mjanja mimi natapatapa tu, believe me hadi mda uo kumtongoza ilkua ishu believe mm sio domo zege but when I fall in love nakua bwege for some time,na hali hii imetokea kwa less than 4 girls in my life tho nshadate sana,at a point nshawahi kua biggest player in the hood sabbu ya kuover come maumivu ya kuumizwa na girls wajanja janja (everyone get hurted in some point in love life) ah ah ah ujana bwana,lets skip hapo ,,
Mtoto kaja sana home,napga nae sana story but nashndwa telling her the truth (how I wsh angenianza-I my dreams) at some point tunadiscus mpk future anawsh kua nani and blaa blaa and stuff,ikafika mda sasa mtoto anakuja kuniaga,ksho yke anasafiri anaenda kuanza life la chuo, msengerema nkawa sad,I will miss you nyingi ah ah ah,jioni yake nkavunja ratiba nkawa na mtoto bahati mbaya Algoma kwenda sehemu yyte ya starehe na nlpotaka twende dinner akasema mama ake ana plans for her na yeye,sikua nna option ila mda flani akaomba twende maduka ya kitaa kuna vitu kasahau kununua,tukaenda, It was almost saa 3 usiku,wahuni kama wote walikua wapo kitaani maana ilkua imetoka kucheza mechi kubwa ya EpL, mnyama nakummbuka nkasmama mbali kidogo na duka mtoto akaenda kununua mahitaji,muda huo nawachora wahuni wanavyomshangaa na kumsifia et mtoto kawa mzuri wakat years before walkua wanamchukulia poa,.. ‘’wayne sogea bhas twende’’ nkajkuta navimba kama kurt weller akiitwa na jane doe (blinspot) ‘’my dear tumechelewa embu naomba nisaidie kubeba hivi nchukue vingine dear,sorry dear’’ ,mtoto ana dear darling nyingi uzuri wake anaongea kwa sauti alafu ana sauti tamu ballaa,basi my friends are ballers wakabaki ballerrs ah ah ah,my friends aka wahuni wakabaki macho kodo hawaaamini kua hatmae mttoto nmempata,kipind mtoto kaingia tena shop wakajsogeza et congrats mzeiya,hyu mtoto ulimpenda long time you desrve to get her,nkawa na smile like an idiot sabbu kchwani najua sijampata bado ha ha ah life.
Around saa 4 tukawa kwao nje kashapeleka mizigo tumechill tu kwnye matofali,imagine this was so romantic to me,kwake sijui, tulipiga story weee,ad aksema anasepa,so its goodbye for good,nkawa namwambia subir,subir ,subirr nyingi mpaka akasmama ikabidi nsmame,nkajtutumua nkamwambia zoo I will miss you,aka smile aksema me too,nkajtutumua nkamwambia you know I love you,right,ah ah ah nashkuru sauti za chura maana nltoa sauti mbovu km speaker za tecno,aka smile akasema and ‘’flani’’ ah ah ah nkacheka nkasem noooo,uyo It was sort of a joke bla blaa but akanipa mkono (eh mkono,hug ,kiss ntaziona kwnye twilight zone’’ aksepa,imagine kesho anaenda chuo (s.a.u.t.i)

In summary mtoto nkawa nawasiliana nae akiwa chuo likizo fupi anarudi,likizo ndefu pia anrudi,kama kawa anakuja home daily/weekly n mwendo wa kukandamiza story believe me everyone waljua tuna date,by this time mtoto alkua ana njua vzur so aljua me mtundu wa I.T issues so tatzo lolote la kifaa cha electronic nkawa naletewa,kwa ishu hizi hadi nkazoeana na mamake (mama mkwe in my head),imagine sifa hizi kumfurahisha mtoto mpaka kudukua king’amuzi-ah ah ah joke
Mtoto mpaka kaanza mwaka wa 2 chuo me mda huo nipo uraiani nakimbiza family and personal business before sjaaanza mishemishe na bro rooney,me bado sjakazia ile kauli ‘zoo you know I love you,right’ ah ah ah zaid yak u flirt nae whatsapp tna mda mwingi hua ananishut off au anakimbiza mada km hizo ila holiday kama kawa tupo wote,daah miaka yote mzee bababnakufa na tai shingoni,in reality ya wengi niko kwny perfect relationship wkt reality ambao wengi hawaijui nipo single nafukuzia tu,maana hata kumhug mtoto sjawahi,kiss in my dreams au emoji whatsapp,mkono ndo nmeambulia sana,nakumbusha tu,mm sio domozege,it just happens when I fall and its very rare,only 4 ladies out of all nliowahi kuwa nao (ao 4 ,3 nliwapata wakanipa somo la broken hearted 1 nlmkosa baada ya years kumfukuzia ,hyu kiss and hugs nlipata but day alioniambia anaumwa sana ad nkakopa kumtek care ad kazi flan nusu nfukuzwe,hakua anaumwa but altoka kutoa virginity,nka surrender).
So as dunia ilvyo watu wakijua unadate na mtu,automatically wanakua walinzi ah ah ah utaskia dem wake karudshwa na jamaa flan,au dem alkua hotel flan bt nlkua nakausha tu sababu kchwani najua sio demu wangu ah ah ah life.
Sasa hapa ndo wivu ukapeleka nianze kucheza vyongo,am very good in manipulating anyone ili nipate kitu hassa info,so nkapata mwana anesoma same chuo ,nkampanga akawa agent wangu hhh then a girl alkua na rafkake flan kambea mbea af kanafk,so sabbu najua hua sometimes anankandiaa kwa girl alaf akiona na mm anajkuta he is okay,nkamfanyia reverse engineering kchwan mwake ah ah ah umbea wke nkawa nauchuja na kupata data, demu alku na jamaa yupi,walkua dinner wapi na all blaa blaaas,WARNING- IN LIFE UKIWA NA RAFIKI MBEA JUA CHA KUMWAMBIA NA CHAKUTOMWAMBIA.
Hadi mda huu,I was leaving in 2 worlds,ya kwanza na date nae hta home wanajua mpaka mtaa mzima naya pili ni kua am single namfukuzia mwaka wa 4.5 huu ah ah ah, hio ni 1st mistake,I wish ningeishia hapo,,
Mtoto aliporudi likizo ndefu kimtndo nkaomba sana outings znabuma,dinner date holla,lunch date hollaaaa,then I Haccked her,yes umeskia vizuri,how -I wont say,why – I will say,just stupidity of me,crzy in love,wivu maybe,sometimes I think the fact all around waljua tunadate that part made me think tunadate kwelui ah ah ah sina excuse,but I did,my feling exceeded my judgements!
So now nkawa na final results,agent abroad (chuo) akasema ‘‘my’’ girl anaishi na msela mmoja hivi now,mapenz ndo yanachipukia,nkam m release from duty jamaa,yule mbea bila kujua kwa umbea wke nkapata details ‘my’ so called girl amefall kwa mtu,mpaka kwao anaendaga,then the hacking thing nkapa picha zao and other communication between them,
Ndo hapa ndo nkajua nna gundu na ‘S.a.u.t.i’ ladies,maana huyu wa pili,that’s why nkipita ile njia na wish sana niende pale kumcheki zoo but roho inakataa,inasema wayne you f*cked up,leave with that,mtoto ushamkosa,move on.

BACK TO THE FUTURE;
Story ya dogo ilngusa kiasi Fulani,nkamuuliza dogo,
MIMI:so ulipopata hizo details ulizifanyia nini maana huwezi sema umefumania maana hamkua mna date

WAYNE:brother Rooney,iko hivi,nlikaa na zile details zkawa znantesa tu,kumwambia mtu siwezi maana kila mtu anajua tuna date sasa hii story ingeharibu uaminifu na close friends wangu so nkaka kimya bro,
Ikafika muda mtoto akija home tunapiga bstory but moyo ullkua mzito sana,nakumbuka nkaaanza hadi kunywa kabla ajaja nipate nguvu ya kumchana anazingua ah ah ah sasa sijui ningemchanaje anazingua maana angejibu tu mimi na yeye sio wapenzi.nkawanmenasa on a limbo;
So bro,ikafika siku nkala zangu vitu vyangu vya kutosha,nikaweka oda ya cake?

MIMI: cake!!! Ya nini tena dogo

WAYNE: ah ah ah tulia bro,I had a plan,It was time to execute it atleast nipunguze stress,but it backfired upande mmoja,
Iko hivi,nkanunua cake,nkaweka strict instructions,iwe delivered saa mbili na nusu usiku kwa address ya kwao mtoto
,by saa moja nkahakikisha mtoto kaja home tho nahisi alshangaa jinsi navyomuhimiza aje,alipokuja I remember akanipa ushauri niache pombe and blaa blaa (moyoni nkasema atleast she cares)
Tukawa tunapiga story za hapa na pale,imagine mtoto alikuja hajamalizia kusuka ,akasema leo anawahi kusepa akamalizie kusuka,nkawa namzubahisha huku naangalia saa,ilipofika saa mbili na dakika 35,tukatoka home na kuanza kwenda njia ya kwao madai namsindkza,njiani raia wanantxt jamaa unajua kupenda wewe ah ah ah the idiots wangejua,atomic bomb is about to explode,
Tulipofika karibu na kwao,mda huo najua cake ishapelekwa,tukasimama our favourite spot akasema wayne ushaanza,leo namuwahi msusi,nkwambia subiri,akajbu daily unaniambia nsubiri alaf tunastorikaaa weee husemi kipya (I felt sorry 4 my self indeed),aya bye wayne,nkwamwambia wait,kuna vitu 2 tuongee leo,akauliza vitu gani,
Mkamwambia unakumbuka tuko home nlkuuliza swali gani,akasema yeah,’’ si ulniuliza mtu ukmhack ukajua mambo yke alaf akjbu ingekua mimi ningefanyaje ‘’nkamjbu yeaah,akauluiza why umeuliza tena wakti nlshakujibu, nkamjibu wait.
Mzee baba nkawasha ki pc change sjui ndo mpakato,hizi Microsoft surface
MIMI;dogo,ile uliyoniambiaga nikutaftie mteja?

WAYNE;yeah,ile ile,nkaiwasha,mtoto akawa ananiangalia curiously,by that time zlkua znakuja memory since namjua akiwa o level mpka now yupo chuo,nkampa ile surface,nkawmabia wait ifungue files znazoload,akaishika huku mpuuzzi mimi naongea ova nanena kwa lugha ,
I told her ‘zoobae am really sorry,for what I did,I love you so much since those years,kila sekunde ukiwa namimi I wsh isiiishe,natamani niwe na wewe everyday,kila ukija home natamani usiondoke but sina jinsi,naombea next day ifike haraka uje tena,I believe alkua hanisikilizi maana nlipogeuka kumuangalia uso ulkua kama Analia akasema ‘’wayne,why on earth you have pictures of me with my boyfriend’’ niwe mkweli bro,ile kauli nusu nile stroke pale pale,all those yaesr it was the first time tumeongelea her relationship status and it was against me,nkaanza kujitetea but akanipa surface yangu akaanza kuondoka,nkajarbu kumdaka huku namwambia I did this stipidness sababu ya blindness of loving you,huyooo akaondoka huku anakimbia, daah,nkabaki njiani pale nmeduwaa,after some time akili zikarudi, nkarudi home nkaweka mizigo yangu,still bado akili ikawa haijatulia,bro,nkaenda near shop,nkakata nyagi kadogo kama nakunywa coca.
MIMI; duh aseee,am speechless dogo,daah,so ukaishije,what next,friends na kitaa?

WAYNE: Am good in planning bro,marafiki zangu wale very close nkawaamabia a girl tumeachana sababu kanifumania home na girl mwingine ,maana sikua naweza kuwapa hii stupid story na sikutaka demu aonekane kazngua,maana watu waliokua wanatuzunguka ndo waliiishi kwnye fantasy world kulko hata mimi,believe me,sijawahi kumwambia mtu na mahusiano na yule demu,ila wao walipigia mstari baada ya kuona u close wetu.

MIMI: duuh pole sana dogo,usikate tamaa,mcheki ,muombe msahama,don’t worry,things will be okay,atajua tu unampenda kweli hata ipite miaka 10

WAYNE:ah ah ah ah brother, do you think,kwamba sijaa apologise hadi leo,

MIMI:maybe hujaongea ukweli wote,maybe anahisi kuna vitu vingi you had behind his back au amekuona sio type yake maana uaminifu ni kitu kikubwa,mwanamke ad anakuja kwenu mara kibao,she trusted you a lot,umecheza blunder,ila sitaki niku judge zaidi,what happened next?


WAYNE:the atomic bomb happened,,,!!!,unakumbuka about the cake right,bhas usku ule nkaanza kumtxt kumuelewesha na kuomba msamaha,kuanzia txt za kawaida,whatsapp but hakujibu,nkasema nimpe time,maybe kuna mazuri nshawahi mfanyia atakumbuka atataka kuongea na mimi,
Sijakaa sawa kama 5 usiku hivi same day ya tukio,akaja home (this time kashamaliza kusuka) na box la ile cake,ah ah ah akairudsha mzee baba,kuitupa hataki anasema niipokee,nashkuru nlkua alone asee,maana nliisi km machozi kama nn maralia,I felt worse bro,tukaanza kubembeleza,anasema chukua namwambia I cant,km dakika 5 nkwambia anisklize then naipokea,nkarudia kuomba msamaha,nltamani nirudshe mda nyuma,na uhakika hakuskiliza ikabidi tu nipokee zigo langu la cake ah ah ah life hili,
Bhas bwana,badae nkakuta nmeblockiwa kila mahali,nna namba nyingi,so nkajrbu ambazo anazjua nkakuta zote chaliii,nakumbuka 24 hours later,cake nkatoa urembo wa juu uliandkwa ‘I love you zoobae’’ nkampa zawadi homey mmoja ilkua birthday yake,ilibidi niwe mnafiki tu kwa jamaa maana alnipost mpaka mitandaoni hajaona mwana kama mimi,kumpa ile zawadi ili mean so much to him,I wondered what if angejua haikua yake,bahati mbaya tu ikawa zali lake.I miss her and still feelings juu yake zipo bro,i hope one day she learns something from this,this madness of mine,cheers bro.

.CONCLUSION.​
Tuliongea mengi na dogo,nka clear bill.by this time nkawa nmejua why tukiwa kule Kigali au gitarama (Rwanda) dogo hana time na watoto wa kule kumbe ana stress zake.
Tukiwa tumeingia kwenye gari tusepe,dogo aka play song ya KAMISHI ft The BEN,ikaingia text ya Sabrina,dada yake hussi kule madukani ‘’we mtu nmeambiwa umekuja,wahi shop tunakarbia kufunga,umesahau funguo zako,hussi alnambia aliziona mliposepa’’,nkakaanyaga wese hadi pale,njiani nkwambia dogo kama vipi twende ukamuone zoobae this night explain to her,hata kama ana mtu wake,kusameheana kibinadam its good,imagine leo afe mkiwa na ma ugomvi,life is too short for this,odgo akasema its okaaay kama pieree liquid.
Tulipofika shop,tukachukua keys zetu na story hap na pale,sabrina akauliza mnaelekea wapi,nkamwambia tunasogea mageto ya wanafunzi wa s.a.u.t.i kuna mtu tunaenda kumcheki,akacheka akasema mue mnauliz wenyeji,sahivi wapo likizo,nkaona dogo ile NURU yake usoni inafifia, tukawaaga tukasepa.
Kufika kwnye gari dogo akasema kamcheki mtu,kamwambia kweli wapo holiday.
Nkampa 5 dogo nkwambia dogo in life story,you ar me,myself and i.
Chill tukalale,asubuhi tuanze safari ya kuitafuta Rusumo,nkamuliza ulikumbuka kununua Gp oil akasema yeah,
aooo tunakata road kuisaka Dahabu crest redioni inapigwa Something like this by The Chain smokers and Coldplay.
x.END.x
 
Huyo mdogo wako anapungukiwa wapi kwa kukosa kusamehewa na wakat kishaomba msamaha ila anatolewa vya nje?? Mwambie dogo amove on tena aachane naye kabisa huo msamaha ataenda upata kwa Mungu hapa duniani akate naye na yeye mawasiliano alishafanya mistake bas tena ajifujze kutokana nayo
Hadi sasa bado,its like tike lady kaamua kukata mawasiliano mazima na bwana mdogo,
Naimani humu atapata ushauri mzuri zaidi

Sent using Brain
 
Pole sana kwa dogo, kweli upele humuota asie na kucha. Me naona ata ka dogo ako alipendwa apo mwanzo alisharushwa friendzone.
If i were him ningeacha hata kuomba huo msamaha coz it's too much...ila ndoivo tena..matters of the heart.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mdogo wako anapungukiwa wapi kwa kukosa kusamehewa na wakat kishaomba msamaha ila anatolewa vya nje?? Mwambie dogo amove on tena aachane naye kabisa huo msamaha ataenda upata kwa Mungu hapa duniani akate naye na yeye mawasiliano alishafanya mistake bas tena ajifujze kutokana nayo
Honestly mwenywe sijui dogo msamaha wake unakwama wapi,
Inaonesha the lady itakua nae aliumia sana baada ya yaliyotokea.
Ntampa ushauri wako madame

Sent using Brain
 
Pole sana kwa dogo, kweli upele humuota asie na kucha. Me naona ata ka dogo ako alipendwa apo mwanzo alisharushwa friendzone.
If i were him ningeacha hata kuomba huo msamaha coz it's too much...ila ndoivo tena..matters of the heart.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa,matters of the heart hua ngumu sana kutumia brain sometimes,ungekua ndo huyo dada wewe ungefanyaje?

Sent using Brain
 
Kweli kabisa,matters of the heart hua ngumu sana kutumia brain sometimes,ungekua ndo huyo dada wewe ungefanyaje?

Sent using Brain
Inategemea ka nilikua najua napendwa seriously au laah..
Kama nilikua najua bas naelewa fika simfeel mdogo wako kias cha kuanza mahusiano na man mwingine. Hata asingekua na haja ya kuniomba msamaha. Ningempa pole tuu..
Kama sikujua ananipenda ile seriously (hakua bold kunifanya wake), honestly ningejipa mda na kuwazua na kupima yupi anaenipenda na kua committed zaidi ndo nichague kati yake na new guy...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea ka nilikua najua napendwa seriously au laah..
Kama nilikua najua bas naelewa fika simfeel mdogo wako kias cha kuanza mahusiano na man mwingine. Hata asingekua na haja ya kuniomba msamaha. Ningempa pole tuu..
Kama sikujua ananipenda ile seriously (hakua bold kunifanya wake), honestly ningejipa mda na kuwazua na kupima yupi anaenipenda na kua committed zaidi ndo nichague kati yake na new guy...

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema ma sonni, hope huyo dada nae atafanya uamuzi kama wako na wamalize tofauti zao

Sent using Brain
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom