Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

Mfano Umetoka Na Mtu Ambaye Labda Umevutiwa Naye Alafu Unaagiza Bia Au Spirits Yoyote Yeye Anachukua Juice Au Any Non Alcoholic Stuff,Or Katika Kupiga Stori Inaturn Out Hatumii Mnatuona Kama Tuko Weak Au Mnatuonaje??
Mbona ni kawaida tu...sidhani kama ni tatizo kwa upande wangu huwa napenda mtu asotumia kilev
 
Mm nakunywa Mr hanywi.. Na hatujawahi kugombana sababu ya hilo..na hata nikiwa mahali alon o wit friends namwambia...atapita atasalimia au atakaa ataondoka..
Nikitaka kugongwa nje nagongwa kweupe bila kunywa hata lepe
Kwikwikwi daa
 
Mkuu ubarikiwe,neno PIMBI ni jibu tosha kabisa,mwanaume mzima unakunywa juice?,ndo maana kila kukicha mademu wanakuja humu kulalamika eti hawakojoi,watakojoaje sasa?,limwanaume limekunywa Fanta na chips kuku,eti ooh baby leo nimemwaga haraka coz umependeza sanaaa,ebooooo pumbafu nini wewe,unywe Fanta halafu usingizie kapendeza?,umemuacha mwanamke na kiu katikati ya jangwa la sahara?,piga vitu vya moto wewe kenge ili umpatie raha huyo kiumbe wa kike au vipi?,hujiulizi kwa nini alipasuliwa mfereji pale katikati,na wewe ukapewa mtwangio ulionyanyuka?,inatakiwa mtwangio ufanye kazi yake kwenye ktmba,sio kumwagia mauji yako yananuka kama nyama buchani kenge wewe au?
Mbona umeongea Kama mtu aliyeshindwa
 
Wewe haunywi pombe halafu mkeo anakunywa
umesafiri unamuuliza uko wapi anakujibu nipo hapa pub napata mbili tatu kabla sijaenda kulala
Mwanaume unatangulia kufika nyumbani halafu usiku wewe ndo wa kumfungulia mlango!
 
Bora umeweka wazi,wewe ni maharage ya Mbeya,ukiona chupi ya demu unamwaga shahawa au vipi?,nyie mnatakiwa CHAPUTA iwatengee kambi yenu,mnafungiwa humo na kupewa misabuni mjiswafi au vipi? eti juice ya nyumbani kenge bluu.
Kweli wewe ni Mlevi.

Yaani unategemea Pombe kumkojolesha mwanamke? Ama kweli wanaume wameisha duniani.
Hakuna pombe hakuna kumchujisha manzi. Pole Sana mkuu.

Wenzako Pombe hatunywi na Dada zako wanalowesha vitanda.

Pombe ni watu dhaifu
 
Huwa napata shida sana kueleza kuwa sinywi pombe,sivuti chochote na si mgonjwa wa papuchi!

Wengi wanaamini kama hunywi lazima utakuwa unalewa papuchi.
Timu yetu moja. Na ninafurahia maisha in my own way. Mke mrembo mwenye heshima na wa kisasa. Watoto wenye nidhamu na akili. Chemistry imeenda vizuri kabisa. We work, take care of the family, plan our family leisure or our own time out and life is great
 
stupid and nonsense quiz session? who cares about stupid mens life!all of you go and roast in hell!
You dont care about stupid mens life [emoji1] [emoji1] ,umeolewa? Basi ndio maana huwa anakuja amelewa afu anakupiga kamoja afu anageukia ukutani anakoroma groughrrrgrhgrg
 
Mfano Umetoka Na Mtu Ambaye Labda Umevutiwa Naye Alafu Unaagiza Bia Au Spirits Yoyote Yeye Anachukua Juice Au Any Non Alcoholic Stuff,Or Katika Kupiga Stori Inaturn Out Hatumii Mnatuona Kama Tuko Weak Au Mnatuonaje??
Huyo hamuendani kabisa yaani mwanamke anapiga mitungi ww hupigi, afadhali uonekane boya aisee huyo piga chini fasta
 
post: 19204614, member😱 Umetoka Na Mtu Ambaye Labda Umevutiwa Naye Alafu Unaagiza Bia Au Spirits Yoyote Yeye Anachukua Juice Au Any Non Alcoholic Stuff,Or Katika Kupiga Stori Inaturn Out Hatumii Mnatuona Kama Tuko Weak Au Mnatuonaje??[/QUOTE]
Wewe haunywi pombe halafu mkeo anakunywa
umesafiri unamuuliza uko wapi anakujibu nipo hapa pub napata mbili tatu kabla sijaenda kulala
hatari sana.
 
Kuna raha sana kuwa na mwanaume asiyetumia kilevi haswa na wewe ukiwa hutumii me ni mnywaji ila katika wanaume nliowahi kudate nao sijawahi kupata anayetumia kilevi natamani sana namimi niache japo inaniwia vigumu kila nkiacha narudia aisee wana raha Sana hawa wasiotumia kilevi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom