King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Tena yuko na 'washkaji' zake, lol.
Wivu ni dalili ya kuzeeka na kuogopa competition. Happy new year rafiki
Wivu ni dalili ya kuzeeka na kuogopa competition. Happy new year rafiki
Wewe haunywi pombe halafu mkeo anakunywa
umesafiri unamuuliza uko wapi anakujibu nipo hapa pub napata mbili tatu kabla sijaenda kulala