Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

ka rafiki yangu na hautumii kilevi urafiki umeisha ivyo yani ni pombe +sigara+mpira.
 
Huwa napata shida sana kueleza kuwa sinywi pombe,sivuti chochote na si mgonjwa wa papuchi!

Wengi wanaamini kama hunywi lazima utakuwa unalewa papuchi.
bora uwaambie maana wanakariri formular za feki kumbe yote yawezekana
 
Wanaume Wasiokunywa wengi ni vicheche plus plus.. yaani zipu zao zipo wazi muda wote
acha uongo na mawazo ya kujifurahisha vijiwen s wote wapenda papuch kama ambavo kuna ambao c walev pia c wote wapenda mzigo hizo ni dhambi za kujitakia kha!
 
acha uongo na mawazo ya kujifurahisha vijiwen s wote wapenda papuch kama ambavo kuna ambao c walev pia c wote wapenda mzigo hizo ni dhambi za kujitakia kha!
Mara niache uongo....

Mara si wote wapenda papuchi


Vipi imekugusa?????
 
Kwani inahitaji ujasiri gani mtu kuwa mlevi?? Ukiamua si hata kesho tu unakuwa mlevi??
Geuza shilingi upande wa pili, muambie mlevi aache pombe kesho kama anaweza!!

Meaning... Inahitaji ujasiri kutokuwa mlevi (asiyetumia kilevi ni Shujaa)
Ila mburula yeyote ana uwezo wa kuwa mlevi akiamua (kutumia kilevi ni weakness)


Ni maoni tu, nothing serious! Dont take it personal [emoji23] [emoji23]
Hakika mkuu
 
Wanaume wengi tu hawatumii pombe na sio watu wa papuchi, mara nyingi ulevi wa pombe na madawa huendana na ngono tena ngono zembe.

Binafsi mwanamke mnywaji tu hanifai, tena nikishaona dalili za kushika chupa tu nitamuacha asap. Huwa na imagine wazazi wametutembelea, wife anapombeka...!!!
 
Kunywa pombe si tatizo. Inahitaji moderation tu. Sio mtu anakunywa mpaka anatapika. Nope
 
Huwa napata shida sana kueleza kuwa sinywi pombe,sivuti chochote na si mgonjwa wa papuchi!

Wengi wanaamini kama hunywi lazima utakuwa unalewa papuchi.
Wewe kama siyo mlevi wa pupuchi ile force ya kustruggle kipindi kile hadi ukampata naniliu huku JF ilitoka wapi???[emoji30]
 
Hivi wanaume walikufanya nini miss natafuta!! Maana sio kwa kuwachukia huko!!
Hayo ni matatizo ya kisaikolojia yanayotoka na kukosa dushe kwa mda mrefu,cha kufanya atafute mwanaume amtibu mkuu!
 
wasiokunywa wanaongoza kwa kudge wengine hapa

wanaokunywa wapo kaunta wanapiga story roundi ya 5 kabla ya kwenda kulala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom