Wanaume: Zama zimebadilika

Wanaume: Zama zimebadilika

"kuchase wanawake" hili neno teyari linaonesha tatizo.
Personal kutafuta mwanamke naona ni kuonesha uhaba ilihali mimi naona wako wengi ni kuchagua mwanamke maana wako wa aina zote.
Ukitaka wakukutesa au wakukubariki ni wewe tu. Na mwanamke ni stage ya juu ya stage ya jinsi ke sio kila jinsi ke ni mwanamke.

Naona focus iwe kujidevelop mwenyewe kwanza kwenye level ya uelewa na uwe specific unahitaji nini kwa mahusiano unayo yataka kama unataka starehe, kujenga kingdom/ familia yenye misingi, au otherwise basi chagua anayeendana na wazo lako. Sio unataka uzuri na ability ya ndani ( malezi, management, stability etc) ni nadra kupata vyote.
Pia lazima na wewe ujielewe ikiwa nawe unamawenge huwezi pata mwanamke mtulivu mwenye ukuu ndani yake. Tujijenge kwanza sisi na tujiambue ukweli jinsi ke wako wengi sana sisi tuchague tu standards zetu.
Law of attraction hairanganyi utavuta watu wa aina yako na sio vyenginevyo ji develop wewe na uwe na standard yako sio ovyo ovyo tu.
 
Kweli sina hela ila ingekuwa yanayosemwa ndiyo hata 50% ya uhalisia wa maisha ya kawaida hizi familia zinazokaa kwenye chumba kimoja kimoja cha kupanga zisingekuwepo. Ni ishu ya una deal na nani, na hata kama iyo unayoita zamu yangu ikifika (watu wanabadilikaga) si namuacha tu natafuta mwingine. Zingatia kanuni ni USIFOSI hautateseka
utaoa wangapi?
 
Unatishia hadi watu wana IST ya milioni karibia 20 uko wakati watu wapo na wanawake zao wazuri tu wanapiga misele kwa miguu na penzi linadumu. Hayo mapenzi mnafosi wazee, tafuta mahali unapendwa, huyo mzee jirani atakufa na presha penzi halinunuliwi ilikuwa amuache tu huyo mwanamke maisha yaendelee
Hakika, mzee alikosea sana kupenda asipo pendwa
 
watu pia wawe wamekomaa kiakili nimeangalia ndoa ya binti wa ruto na mwenzie inaonekana ni watu waliokomaa kiakili.
Ukitaka kujua watu ni wajinga wamekazana kusema binti ni mnaya hana sura wala shepu kumbe hawajui ndoa ni zaidi ya hivyo.
Exactly it's only those who are higher kwenye maslow pyramid that get to see above superficial stuff
 
Wanaliwa wanawake wengi sana kupitia kigezo cha hela hela...iko wazi kama mwanamke tanguliza hela hata uwe na mwanaume yuko na pesa nyingi.Utamaduni wako wa kuliwa upo pale pale kupitia pesa.
Mimi ni dume, ila mwanamke naye hupima mwanaume gani wa kulala nae based on her level of uchumi... Nenda kamhonge kajala million5 kama atakubali
 
Mimi ni dume, ila mwanamke naye hupima mwanaume gani wa kulala nae based on her level of uchumi... Nenda kamhonge kajala million5 kama atakubali
Mkuu pole kwamba kajala akatae Million 5..wacha nikae kimya..Njoo huku Katoro na Chunya utakuja kufuta hii comment
 
Nipe connection nami nije nilemema ya nchi... Uko mogodini?
Mwanzo sikuelewa nilipofika hizo sehemu kwa miaka miwili hii.
Kuna watu ni wastaarabu sana ila huwezi fikiri kama wana kazi na kokodiwa nyakati vijana wakipata maokoto migodi hii ya watu wa kati.Ni mashindano nani kalala na nani...

Tunaogopa kutekana tu Mkuu ila ukipata nafasi tembelea huko...utawaona hata ambao hukuwategemea
 
Katika normal distribution wanaokuwa juu ni wachache, wengi wanakuwa average na chini.

Sasa hapo wewe unatakiwa uwe makini usiangukie pabaya.

Kwanza wewe mwenyewe uwe na value, na hapo ndipo nakubaliana na point yako. Mwanamme inabidi awe na kitu cha kuvutia, vinginevyo mwanamke atakutaka wa nini?

Ila naona kama msisitizo mkubwa umewekwa kwenye pesa. Kuna wengine hawana pesa ila wana akili ya kutafuta pesa, na bado kuna wanawake wengi wanaelewa hilo. Wanaangalia potential, wanatafuta mtu wa kutafuta naye, si kila mwanamke anatafuta tajiri tu.

Nas ali rap katika "Hey Nas"

"One, for the honeys who roll blunts up, but don't smoke
Two, for the few who see potential in you when you broke"

OG alijua hawa wapo.

Na kama unakutana na wanawake wanaonekana hawaelewi potential yako, hujalazimishwa kuwa nao.

Yani wanawake wote hawa mtu inakosa kabisa mtu mnayeendana?

Yani hata unaposema unataka ku focus kwenye kutafuta, kuna mwanamke ana focus ya kutafuta hivyo hivyo kama wewe mnaendana, unatakiwa kumjua tu. Ukisema unataka kujigua gym upasuke vizuri, kuna mwanamke anapenda gym hivyo hivyo, unatakiwa umjue tu.

Inawezekana hawako wengi, na unatakiwa uwatafute sana, lakini wapo.

Tatizo naona watu wenhine (sizemi wewe) wanashindwa kujua nani anafaa, mtu hata interests zake hazijui anakwendakwenda tu kwa bahati, sasa huyo atawezaje kuwa na mwanamke mwenye interests sawa na zake wakati yeye mwenyewe hajajichunguza kujijua vizuri anataka nini, anaishi kwa kuelea elea kama boya tu.

Tafuta mtu inayeendana naye mkuu, halafu kitu kingine, usilazimishe mambo, kama si zali si zali tu. Hutakiwi kuji isolate sana usiwe na mwanamke kabisa, pia hutakiwi kuwa mtu ambaye huwezi kuishi bila mwanamke.

Unakuwa katikati. Ila ujue kujiposition, kama unapenda kusoma unakutana na mtu wako library au chuo, yani kuanzia siku mliyokutana tu kina standard imejiweka. Hata mtu akiuliza story yenu mmekutana wapi, jibu linaonesha falsafa za maisha yenu.

Sasa wewe unapenda kusoma, unakutana na mwanamke bar ya Uswazi yeye anapenda makelele. Hamna hata vommon tooiv za mazungumzo, mnanyanduana tu.

Mkikaa nyumbani wewe unataka ukimya usome, yeye anataka kelele.

Hamtaelewana.
That's so well put mkuu..

I'm even doing and applying that in my life too. Ndo maana hata kwenye hii post niliweka hilo as a first priority.... A man's life should be revolving around his purpose including his wife.

That's bars right there
 
Mwanzo sikuelewa nilipofika hizo sehemu kwa miaka miwili hii.
Kuna watu ni wastaarabu sana ila huwezi fikiri kama wana kazi na kokodiwa nyakati vijana wakipata maokoto migodi hii ya watu wa kati.Ni mashindano nani kalala na nani...

Tunaogopa kutekana tu Mkuu ila ukipata nafasi tembelea huko...utawaona hata ambao hukuwategemea
Aisee! Ni hatari sana. Ila yote kwa yote maokoto mkuu, these chicks want money and not blah blah.. Japo hilo ni kwa wanaume wapenda chini
 
utaoa wangapi?
Assuming nina miaka 20 ya kuishi nikiwa bado ni mwanaume kamili ninayehitajia wake, then kila nikioa nakuja kupigwa tukio kwasababu hata IST sina. Kikawaida kama nilijituma kidogo kwenye kuchagua uyo mke na kumtunza itachukua at least 1.5 - 2 years kabla ya kuja kuporwa na mwamba mwenye IST so roughly nitaoa kama wanawake 9± at worst scenario.
 
Take it easy bro!

Kwa experience yangu wanawake wanapenda wanaume wanaofahamu kutatua matatizo.

Ukishindwa kumwonyesha good time bila hela wewe ni weak man. Life ipo na adventures nyingi na mwanaume yeyote anayejipambania hawezi kosa pesa yakawaida tu na ukiishi in a moderate way huwezi shindwa kuwa na mtoto mzuri au kuoa kabisa.

Sifa ni hizi.

1. Kuwa na income
2. Hakikisha upo fit, mwonekano wakiume.
3. Kuwa social kiasi si saa 24 unajifungia ndani.
4. Usiwe chawa wa serikali. Kumbuka wanawake wanaojielewa hawaipendi serikali dhalimu.
5. Pesa kidogo yakumnunulia mchumba zawadi za hapa na pale.
6. Hakikisha pia una goal kubwa unayopambania si tu income uliyonayo sasa hivi.

Trust me, ukifanya hivi utaoa hata mtoto wa president.
That's bars 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Msibishe, hoja iko maridhawa, hali ya mambo ya kimahusiano ya kimapenzi na kindoa imebadilika. Siku hizi mwendo ni hela tu, huna hela hutapata mbunye ya bure. Mbunye ziko za kila aina na gharama zake tofauti. Ziko mbunye mpaka za milioni moja, laki, elfu hamsini, thelathini, ishirini, elfu kumi, elfu tano, buku mbili, buku moja hadi jero, za bure hakuna. Inategemeana we mwenyewe ni wa hadhi gani na unataka mwanamke wa status gani. Kuna wanawake wa makasino, pub/grocery, baa, vilabu vya mataptapu/pombe za kienyeji, machangudoa, baamedi, makahaba ya madanguroni na saluni za kike, wa uchochoroni, mapagarani, barabarani na vichakani kote huko mbunye ni za kununu hakuna ya bure. Bajeti yako ndiyo itaamua upate mwanamke wa aina gani, pisi kali au pollygon, au mshangazi njaa, au mke wa mtu. Nyape zimekuwa ni bidhaa ghali hata ukioa utagharamia tu kuipata kwa mkeo, usipotoa hela kwa mkeo utanuniwa, hutapewa na mgogoro wa ndoa huzuka na kushitakiana kisa tu mbunye hupewi.
UZI UFUNGWE. 🤝🏽
 
"kuchase wanawake" hili neno teyari linaonesha tatizo.
Personal kutafuta mwanamke naona ni kuonesha uhaba ilihali mimi naona wako wengi ni kuchagua mwanamke maana wako wa aina zote.
Ukitaka wakukutesa au wakukubariki ni wewe tu. Na mwanamke ni stage ya juu ya stage ya jinsi ke sio kila jinsi ke ni mwanamke.

Naona focus iwe kujidevelop mwenyewe kwanza kwenye level ya uelewa na uwe specific unahitaji nini kwa mahusiano unayo yataka kama unataka starehe, kujenga kingdom/ familia yenye misingi, au otherwise basi chagua anayeendana na wazo lako. Sio unataka uzuri na ability ya ndani ( malezi, management, stability etc) ni nadra kupata vyote.
Pia lazima na wewe ujielewe ikiwa nawe unamawenge huwezi pata mwanamke mtulivu mwenye ukuu ndani yake. Tujijenge kwanza sisi na tujiambue ukweli jinsi ke wako wengi sana sisi tuchague tu standards zetu.
Law of attraction hairanganyi utavuta watu wa aina yako na sio vyenginevyo ji develop wewe na uwe na standard yako sio ovyo ovyo tu.
Yes, in that chase for dooo, huko ndo utajua standard zako, na hapo ndo utagundua kumbe wako wengi... Mwanaume kapuku hana choices..

Na kuelewa sana mkuu
 
Aisee! Ni hatari sana. Ila yote kwa yote maokoto mkuu, these chicks want money and not blah blah.. Japo hilo ni kwa wanaume wapenda chini
Ndio maana nakueleza Mkuu ukitaka kujua hawa ndugu asilimia kubwa waliona ona fedha ndio lango kuu.
Awe kwenye ndoa..awe na kazi...wanasafiri sana hasa Ijumaa kuja sehemu hizi ...na wengine si huko tu wana sehemu zao na kuna walaji wao.

Ukitembelea chuma ya kuanzia M35 kwenda juu huku ukawa mtulivu utakuja kunishukuru 😛 😛
 
Back
Top Bottom