Wanaume: Zama zimebadilika

Wanaume: Zama zimebadilika

Unapata mkuu hujakutana na demu alie chezewa na akatelekezwa mkuu, wanakua wamechoka vihoja nina ushubuda nilipendwa na demu matawi ya juu nikawa namuogopa siku moja alinambia amewapa sana wanaume moyo wake na wameishia kumuumiza tu, hivo yupo tayari hata kudate na mzoa taka kikubwa upendo wa kweli.

Nilipo kua naisshi wale madada mbona walikia wanahudumia wame zao
mna watoto wangapi
 
Watu mkipigwa matukio huko mnakuja JF kutisha watu na kutujaza ubaya wanawake, tafuta pesa kwa ajili ya ustawi wa maisha yako na si kwa sababu ya mwanamke kwani wangapi wana pesa na mapenzi yanawanyoosha??? mapenzi hayana maalumu.
Sija pigwa tukio wala nini, ninawasanua wanaume kuwa na tahadhari na kuchukua ukweli Mchungu... Zama zimebadilika.
 
Sawa mkuu,
Na kuelewa point yako, ila maisha na zama zimebadilika, si semi watu wa namna hiyo hawapo, bali ndo uhalisia wa maisha tuishiyo zama hizi.

Wanawake wenye akili wapo, na wapambanaji wapo pia, ila ni asilimia ndogo sana
Katika normal distribution wanaokuwa juu ni wachache, wengi wanakuwa average na chini.

Sasa hapo wewe unatakiwa uwe makini usiangukie pabaya.

Kwanza wewe mwenyewe uwe na value, na hapo ndipo nakubaliana na point yako. Mwanamme inabidi awe na kitu cha kuvutia, vinginevyo mwanamke atakutaka wa nini?

Ila naona kama msisitizo mkubwa umewekwa kwenye pesa. Kuna wengine hawana pesa ila wana akili ya kutafuta pesa, na bado kuna wanawake wengi wanaelewa hilo. Wanaangalia potential, wanatafuta mtu wa kutafuta naye, si kila mwanamke anatafuta tajiri tu.

Nas ali rap katika "Hey Nas"

"One, for the honeys who roll blunts up, but don't smoke
Two, for the few who see potential in you when you broke"

OG alijua hawa wapo.

Na kama unakutana na wanawake wanaonekana hawaelewi potential yako, hujalazimishwa kuwa nao.

Yani wanawake wote hawa mtu inakosa kabisa mtu mnayeendana?

Yani hata unaposema unataka ku focus kwenye kutafuta, kuna mwanamke ana focus ya kutafuta hivyo hivyo kama wewe mnaendana, unatakiwa kumjua tu. Ukisema unataka kujigua gym upasuke vizuri, kuna mwanamke anapenda gym hivyo hivyo, unatakiwa umjue tu.

Inawezekana hawako wengi, na unatakiwa uwatafute sana, lakini wapo.

Tatizo naona watu wenhine (sizemi wewe) wanashindwa kujua nani anafaa, mtu hata interests zake hazijui anakwendakwenda tu kwa bahati, sasa huyo atawezaje kuwa na mwanamke mwenye interests sawa na zake wakati yeye mwenyewe hajajichunguza kujijua vizuri anataka nini, anaishi kwa kuelea elea kama boya tu.

Tafuta mtu inayeendana naye mkuu, halafu kitu kingine, usilazimishe mambo, kama si zali si zali tu. Hutakiwi kuji isolate sana usiwe na mwanamke kabisa, pia hutakiwi kuwa mtu ambaye huwezi kuishi bila mwanamke.

Unakuwa katikati. Ila ujue kujiposition, kama unapenda kusoma unakutana na mtu wako library au chuo, yani kuanzia siku mliyokutana tu kina standard imejiweka. Hata mtu akiuliza story yenu mmekutana wapi, jibu linaonesha falsafa za maisha yenu.

Sasa wewe unapenda kusoma, unakutana na mwanamke bar ya Uswazi yeye anapenda makelele. Hamna hata vommon tooiv za mazungumzo, mnanyanduana tu.

Mkikaa nyumbani wewe unataka ukimya usome, yeye anataka kelele.

Hamtaelewana.
 
Take it easy bro!

Kwa experience yangu wanawake wanapenda wanaume wanaofahamu kutatua matatizo.

Ukishindwa kumwonyesha good time bila hela wewe ni weak man. Life ipo na adventures nyingi na mwanaume yeyote anayejipambania hawezi kosa pesa yakawaida tu na ukiishi in a moderate way huwezi shindwa kuwa na mtoto mzuri au kuoa kabisa.

Sifa ni hizi.

1. Kuwa na income
2. Hakikisha upo fit, mwonekano wakiume.
3. Kuwa social kiasi si saa 24 unajifungia ndani.
4. Usiwe chawa wa serikali. Kumbuka wanawake wanaojielewa hawaipendi serikali dhalimu.
5. Pesa kidogo yakumnunulia mchumba zawadi za hapa na pale.
6. Hakikisha pia una goal kubwa unayopambania si tu income uliyonayo sasa hivi.

Trust me, ukifanya hivi utaoa hata mtoto wa president.
 
Ukiingia kwenye mtego wa Malaya hata uhonge Mbingu bado itakulamba tu....Taksi Bubu zipo nyingi tu zimejificha nyuma ya mwamvuli wa hela.Maovu ya hao Malaya si lazima iwe kwa wanawake wote..watu wanaendelea kuishi na muda uandelea kuwabariki zaidi.

EPUKA mwanamke mwenye tabia za kimalaya malaya kwa kisingizo cha kuwa hela inaendesha UKE wake maamuzi ni yako mwanaume.
Mkuu Nimeongelea basic relationship standards.. Bila hela unajidanganya tu kama mwanaume
 
Tatizo lako hujiamini na bila shaka umeanza mapenzi ukubwani, ninyi huwa na shida sana aisee.

Kutongoza hamjui, kumhandle mwanamke hamjui, kazi kuhonga tu. Hata yule dem aliekuoenda upendo unaoungua maana huna unachooffer zaidi ya kutaka kuombwa pesa.
Unawekwa upande wa kitega uchumi huku wahuni wakiichabanga free.
Ndo unajifariji hivyo? Unafikiri kisa anakuvumilia na kapuku wako siku akipata offer ata bali kuku Heshimu? Acha kujipa umuhimu ambao huna
 
ndio zama zimebadilika tafuta mtu mnayeendana wanawake wa sasa hivi sio kama kondoo utakavyokuja ndo nitakavyokupokea,mambo ya zamani mwanamme anaenda kulea mama anaenda shambani kwa sasa hamna.
Turudi kwa reference ya huyo mgane wako,tulishasema usioe single maza labda uwe uliudhuria mazishi ya mmewe
Sio mimi nimesema ni jirani ndiye aliye oa single mother
 
Nilishasema humu acheni kuoa kwa matamanio achen matamanio hebu oa Mke sio kwa ajili ya matamanio ya Kimwili akili zake ni muhimu kuliko Hilo kalio lake
 
Back
Top Bottom