Wanaume: Zama zimebadilika

Wanaume: Zama zimebadilika

Siku hizi ukitaka kuoa hakikisha una hela za kutosha mkeo kuzichezea, huna hela mke utamchora chini. Wazazi wenyewe hawataki binti yao aolewe na kijana asiye na hela, wanataka kuona binti ya haishi maisha ya dhiki ndoani kwa kapuku. Hata kulakula nyabe za mitaani kama huna hela ni bora ukae hivyohivyo bila kulabua, hakuna nyabe za bure siku hizi
Pale mkoa x kuna tajiri mkubwa sana pesa ipo ila mkewe kaliwa na kinamaa fulani hivi kilala hoi na ilikia daily yule mama anaipeleka mwenyewe
 
Hoja ya kutafuta Hela nakubaliana nayo

Hyo ya kutafuta ili umridhishe mwanamke hyo baki nayo

Hakuna formula moja kwa kila mtu, huyo Malaya wako unafanya ndio SI unit ya wanawake wote
Tafuta pesa kusaidia ndugu jaamaa na mkeo na watot ila kwa demu umechemka mzeer kuna tajiro mkubwa mkoani mkewe kaliwa sana na kijamaa tu kidogo
 
Sina uhakika sana ila unaweza kuwa na point na unakiwa kuzingatiwa katika baadhi ya maeneo.
Ila hilo ulilosema lina kaukweli flan japo ndio hivyo sio wote, ila kwa mimi, dhe last 4 women ambao nimekula october/november hii wote ni single mazas na wote nimewala the very first day nimewaalika maeneo.

POint ni nini hapa? Point ni hii, wanawake wengi sasa hivi hawawez kujizuia na kila mmoja ana sababu zake, na sababu moja wapo ni ubaharia, hata wao pia wapo ambao wana mindset kama hii yako, hawataki mahusiano wanataka ile one time chap kila mtu njia yake au on & off yan msigandane.

Kwahiyo kwa mwanaume jambo la msingi ni kujua UNATAKA NINI na HUTAKI NINI.
Basi.
 
Ukiingia kwenye mtego wa Malaya hata uhonge Mbingu bado itakulamba tu....Taksi Bubu zipo nyingi tu zimejificha nyuma ya mwamvuli wa hela.Maovu ya hao Malaya si lazima iwe kwa wanawake wote..watu wanaendelea kuishi na muda uandelea kuwabariki zaidi.

EPUKA mwanamke mwenye tabia za kimalaya malaya kwa kisingizo cha kuwa hela inaendesha UKE wake maamuzi ni yako mwanaume.
 
Tatizo lako hujiamini na bila shaka umeanza mapenzi ukubwani, ninyi huwa na shida sana aisee.

Kutongoza hamjui, kumhandle mwanamke hamjui, kazi kuhonga tu. Hata yule dem aliekuoenda upendo unaoungua maana huna unachooffer zaidi ya kutaka kuombwa pesa.
Unawekwa upande wa kitega uchumi huku wahuni wakiichabanga free.
 
Watu mkipigwa matukio huko mnakuja JF kutisha watu na kutujaza ubaya wanawake, tafuta pesa kwa ajili ya ustawi wa maisha yako na si kwa sababu ya mwanamke kwani wangapi wana pesa na mapenzi yanawanyoosha??? mapenzi hayana maalumu.
 
Unapata mkuu hujakutana na demu alie chezewa na akatelekezwa mkuu, wanakua wamechoka vihoja nina ushubuda nilipendwa na demu matawi ya juu nikawa namuogopa siku moja alinambia amewapa sana wanaume moyo wake na wameishia kumuumiza tu, hivo yupo tayari hata kudate na mzoa taka kikubwa upendo wa kweli.

Nilipo kua naisshi wale madada mbona walikia wanahudumia wame zao
Hiyo ni special case na hakuna mwanamke wa namna hiyo kiuhalisia.
 
Unaweza kusema hivyo kama hauna cha kuvutia zaidi ya pesa tu. Kama hujui kukaa na wanawake kwa akili.

Hao hao wanawake unaowasema kuna wanaume wengine wanapewa channel za maisha nao hao wanawake.

Yani kuna mwanamme anapata channel ya kutoboa maishani kwa mwanamke, na wala si Mario, ni mpambanaji, mwanamke ndiye anamuona huyu mpambanaji wanajiunga pamoja mtu anapata channel anaitoa.

Wewe unamuona Reginald Mengi mfanyabiashara mkubwa ana pesa, lakini hujui stories za alivyoanza kiwanda cha peni na Mama Mercy. Tunakwenda kuwaita kina marehemu Rodney Mutie watoke nje kucheza mpira Upanga, wanakatazwa na mama yao, wanasema mama katupa kazi.

Kumbe wanajaza wino kwenye peni ndani kwao Upanga.

Baadaye tunastuka watu wana kiwanda cha peni.

Mama Mercy kasimamia michongo, katoa connections zake.

Nje watu wasioijua familia wamemuona Mzee Mengi tu.
Sawa mkuu,
Na kuelewa point yako, ila maisha na zama zimebadilika, si semi watu wa namna hiyo hawapo, bali ndo uhalisia wa maisha tuishiyo zama hizi.

Wanawake wenye akili wapo, na wapambanaji wapo pia, ila ni asilimia ndogo sana
 
Hoja ya kutafuta Hela nakubaliana nayo

Hyo ya kutafuta ili umridhishe mwanamke hyo baki nayo

Hakuna formula moja kwa kila mtu, huyo Malaya wako unafanya ndio SI unit ya wanawake wote
Hizo hela unazozitafuta unadhani sio za kumfanya mkeo asiteseke?
 
ndio zama zimebadilika tafuta mtu mnayeendana wanawake wa sasa hivi sio kama kondoo utakavyokuja ndo nitakavyokupokea,mambo ya zamani mwanamme anaenda kulea mama anaenda shambani kwa sasa hamna.
Turudi kwa reference ya huyo mgane wako,tulishasema usioe single maza labda uwe uliudhuria mazishi ya mmewe
 
Sina uhakika sana ila unaweza kuwa na point na unakiwa kuzingatiwa katika baadhi ya maeneo.
Ila hilo ulilosema lina kaukweli flan japo ndio hivyo sio wote, ila kwa mimi, dhe last 4 women ambao nimekula october/november hii wote ni single mazas na wote nimewala the very first day nimewaalika maeneo.

POint ni nini hapa? Point ni hii, wanawake wengi sasa hivi hawawez kujizuia na kila mmoja ana sababu zake, na sababu moja wapo ni ubaharia, hata wao pia wapo ambao wana mindset kama hii yako, hawataki mahusiano wanataka ile one time chap kila mtu njia yake au on & off yan msigandane.

Kwahiyo kwa mwanaume jambo la msingi ni kujua UNATAKA NINI na HUTAKI NINI.
Basi.
Sasa hao wanawake wa4 uliwala bure? Unadhani kama wangekuwa na wanaume wenye pesa na kila kitu wangebaki kuwa single mothers?

Binafsi naona mahusiano yameshakuwa transactional, hata kula mwanamke siku hizi, usipo toa chochote kitu na ukatunukiwa, inakuwa ni kama umebahatika.

Kikubwa ni kuwa na maokoto mkuu
 
Back
Top Bottom