GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 810
- 2,119
Sahihi kaka mambo yamebadilika, vijana hawataki bugdha, kiredio cha nini ndani? Bora uishi mwenyewe tuAisee, ndo maana nikasema zama zimebadilika mkuu
Sahihi kaka mambo yamebadilika, vijana hawataki bugdha, kiredio cha nini ndani? Bora uishi mwenyewe tuAisee, ndo maana nikasema zama zimebadilika mkuu
Hata mfano wa uongo uliotuletea sio wa mlala hoi, ila bado umekaza fuvu.Ni rare sana, ila za masikini ni sekunde tu, mke wako akitongozwa na mwenye hela anaona ni kama kabahatika hivi
Haya hadithi hadithi ya ni ya ukweliNdio sasa kwann useme ni uongo? Umejuaje kuwa ninadanganya?
Kazi kwakoooDuuh kumbe? Kikubwa niwe na harrier tu sio?
Chiwa boy kwani una id ngapi?Nimekwambia kuwa hakuwa na maisha yale ambayo huyo mwanamke Aliya taka ila aliforce tu.. Na akaishia kuachwa
OMDAThat's none of your business. Tubaki kwenye mada... Au unataka tuwe more than jf pals?
Wapo mkuu sema , madogo wa saivi mnataka attention kwa nguvu na wadada wakalijua hilo na wao wanataka pesa in exchangeUnaongea kujifurahisha? Nenda katsfute mke kwa hawa wanawake wa leo bila hela, useme una mapenzi ya kweli kama utapata
Hongera kwako, unajua fika kabisa kuwa ni hawa masponsor ambao wanamandinga makali ndo wana wa spoil watoto wakali?Wapo mkuu sema , madogo wa saivi mnataka attention kwa nguvu na wadada wakalijua hilo na wao wanataka pesa in exchange
Zipo pisi kali mno na ni zero cost mpaka unaipasua na unaishi nayo fresh tuu, speaking from my experience nimeoa binti wa 2001
Nimefanya utafiti wangu mdogo, mwanaume ukionyesha juhudi kidogo kwenye maisha utakojolea pazuri, wanawake wanapenda hardworking manHongera kwako, unajua fika kabisa kuwa ni hawa masponsor ambao wanamandinga makali ndo wana wa spoil watoto wakali?
Hakika na hiyo ndo njia pekee tuache kujidanganya wanaume..Nimefanya utafiti wangu mdogo, mwanaume ukionyesha juhudi kidogo kwenye maisha utakojolea pazuri, wanawake wanapenda hardworking man
Hao ma sponsor wanakula wauza k kitu ambacho ni opposite na nia yako wewe unataka mke pisi kali, basi workhard
mfano mzuri ni mimi na drive model ya 2000 gf-bhc, bodaboda sipendi kujionyesha. Mad Max unaojua hii model ya boda boda.Hahaha,
Unaeza kuta mtu ana drive iST au Rav4 kwa kuwa tu hapendi kujionyesha ila uwezo wake halisi ni zaidi sana
Wake za matajiri wasingekuwa wanapigwa paipu na bodaboda kama shida ni helaHakika na hiyo ndo njia pekee tuache kujidanganya wanaume..
Hakuna mwanamke duniani anapenda mwanaume fukara, hata hao wanaowavumilia makapuku ni kwasababu hawana sehemu ya kwenda ila trust me siku akitokewa na mwenye nazo, ana Sali kimshukuru Mungu kuwa na yeye kaonwa
Wana pigwa paipu kwasababu hawaridhishwi.. Ila kama usinge kuwa na hela hata huyo mkeo usinge kuwa naye..Wake za matajiri wasingekuwa wanapigwa paipu na bodaboda kama shida ni hela