Wanaume weusi. . . . . !!

Wanaume weusi. . . . . !!

Jana nilikua natazama program ya mikas eatv.Wageni walikua Nakaaya na Nancy Sumary Nancy aliulizwa kuwa,ni kwa nini wanamitindo wengi boyfriend zao ni na wazungu,hakutoa jibu la kueleweka,lakini pia hata dada yake,Nakaaya ikaonekana ana kidume mweupe,kwani alipoulizwa alijiumauma. Serena Williams aliwahi kusema kuwa wanaume weusi hawajui mapenzi,hawajiamini na wana wivu wa kijinga.Mshirik wa BBA revolution,Mtanzania Elizabeth Gupta,aliwahi kuwaponda wanaume au vijana weusi,akadai hakuwahi kuwa na kidume mweusi,lakini nashangaa ameolewa na Kevin ambae ni mweusi! Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?Kuna ushahidi wowote wa kisansi wa kuthibitisha hili?Naomba ieleweke kwamba hao niliowataja hapo sio kipimo cha ufahamu au wao ni bora,hapana.Nimewatumia kama mifano kuelezea tatizo la kutokujitambu tulilonalo!

Nadhani tatizo sio rangi hapa labda wangesema mazingira waliokulia waafrika na wazungu yamepelekea wanaume wa aina flani kuwa na tabia flani, all in all ni ulimbukeni tu kutoa kauli kama aliyotoa Elizabeth kwani hii issue ni ya kifikra zaidi kwani unaweza ukawa mzungu kwa muonekano lakini malezi yako yamejaa tamaduni za watu weusi na unaweza ukawa mweusi lakini malezi yako yana tamaduni za kimagharibi (wangesema kwa mtazamo huu sawa maana tungesema nafsi zao ndio zinapenda hivyo).
 
Sijawah kupenda, hata kumtamani mwanaume mweupe. Hata awe na good coverage na aje na sound zote. Ngoja nitajaribu labda wapo SWAGA. Huwez jua. But lol, No No No.
 
hawa dada zetu cultural imperialism inawapeleka puta kuanzia kuvaa kuongea kwa kubana pua kiswanglish you know you know kibao.hii yote ni kutokujiamini(inferiority complex)mfano mzuri ni hao wameru waliokuwa eatv ni vichefuchefu
 
Nahisi ni mawazo potofu tu. hakuna mahusiano yoyote kati ya rangi na mapenzi. Huwa tunajidanganya kuwa wazungu wana mapenzi ya dhati, ni waaminifu, hawa sex kabla ya ndoa.... wakati si kweli, wapo wanaotoa mimba, wapo wanawake wameumizwa ndo maana kuna ndoa za mikataba ya muda mfupi. They are cheaters just like africans. labda kwasababu tumezoea kusifia kila kitu cha wazungu.

Waeleze hawa mimi ninachojua kuppenda au kutokuppenda hakujali rangi ya mtu, tatizo ni kuwa wanawake wetu huku wanachukua sample ndogo ya wazungu wanaokutana nao happa halafu wanaconclude eti wanajua kuppenda.Mbona kwa wazungu kuna malalamiko mengi tu ya ukatili na mengine?Hawa wengine ni ushamba tu na kutojiamini, angalia huwa wanaishia wapi na hao wazungu wao.
 
Labda zuri kwao ni kuwa they are open. Manpoingia kwenye mahusiano wanaongea kwamba hapa ni for pleasure au for permanent. Ila wadada wengi wametendwa tu ka bongo vile. Inatubidi tubadilishe mtazamo.
 
Jana nilikua natazama program ya mikas eatv.Wageni walikua Nakaaya na Nancy Sumary Nancy aliulizwa kuwa,ni kwa nini wanamitindo wengi boyfriend zao ni na wazungu,hakutoa jibu la kueleweka,lakini pia hata dada yake,Nakaaya ikaonekana ana kidume mweupe,kwani alipoulizwa alijiumauma. Serena Williams aliwahi kusema kuwa wanaume weusi hawajui mapenzi,hawajiamini na wana wivu wa kijinga.Mshirik wa BBA revolution,Mtanzania Elizabeth Gupta,aliwahi kuwaponda wanaume au vijana weusi,akadai hakuwahi kuwa na kidume mweusi,lakini nashangaa ameolewa na Kevin ambae ni mweusi! Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?Kuna ushahidi wowote wa kisansi wa kuthibitisha hili?Naomba ieleweke kwamba hao niliowataja hapo sio kipimo cha ufahamu au wao ni bora,hapana.Nimewatumia kama mifano kuelezea tatizo la kutokujitambu tulilonalo!

Njaa zao tu., mbona mi nilikuwa na dada mmoja wa Kinaija na alikuwa analelewa na mzungu? And she was honestly with me kwamba jamaa kwa kuwa anamgharamia kila kitu pamoja na familia yake, but hampendi wala nini. So that's the truth.
 
Eiyer leo nimekupa like kwasababu unajitahd sana kuuchokoa mchokaa. Anyway binafsi sitaki kulichangia hili na siyo kwa nia mbaya bali nitagusa interest za watu fulani humu. But naamini utajifunza kitu ma lito bro.

umeona eeh swtlove?

yaani huu mjadala nakumbuka siku zilizopita umeshawahi kuwa explosive sana

na nina hakika wale wapenzi wa blog ya mange wangekuja hapa (sijui wapo) basi pasingetosha maana kuna hii dhana ya watu kuwa proud sana kuwa 'muke ya muzungu'....

kwa wale wenye mashaka nadhani Eiyer hapaanamaanisha mwanaume mwenye asili ya kiafrika vs wazungu.
gfsonwin come this way babe.... (oooh hivi nimesema kuwa na miye ni mutu ya wabantu forever, bila kuwa mbaguzi? tunaweza kutofautisha ubaguzi na preferences I presume.)
 
Last edited by a moderator:
Kaizer,kila mwanadamu ni mbaguzi hilo liko wazi.Nilimaanisha mwanaume mweusi na sio Muafrika,mwafika anaweza kuwa mhindi,mchina,mzungu n.k!Hapa mjadala mkubwa ni rangi sio utaifa ndo maana jambo hili linawahusu weusi wote walioko duniani!
 
ewaaa...na mimi muktadha ndio huo huo....
 
Ila kiukweli wanaume weusi wanachojua wao ni kupiga shughuli tu kwenye mambo yetu yaleeee...ila likija suala la kumdekeza dekeza mutoto muzuri they are zero.............
 
mh! labda kesho ndo ntachangia, but lakini je ni weusi lile kundi la wahuni wa arusha au rangi bora ya mwafrika? ila na wao nasikiaga wanawake wa kizungu wanasema "if you went to black you will never turn back"
 
Year Eiyer alikuwa sahihi, wanaume weusi tukihisi tunaibiwa kinawaka kweli kweli na panakuwa ahaptoshi, lakini wanaume weupe aka wazungu mke anaweza kumegwa na akaja kumwambia mumewe kwamba alimegwa lakini hayakuwa mapenzi bali tamaa ya ngono tu na mume akasamehe na maisha yakaendelea.........Mke anaweza kumwambia mumewe....
"I just have sex last night with someone buti it was not love, just sex......"
Na mume akajibu.... "It is ok my love....."

Kwa M-bongo pangechimbika..............LOL

nahisi kama sijaelewa so kina dada wanapenda wadhungu ili wamegwe ovyo na still penzi la mdhungu liexist? hizo si ndio njaa zenyewe? kwanza hao wadhungu whateve they call theirselves wazunguhawaogi wachafu, wana damu baridi, ukimuona demu wa kibongo ana mzungu ni njaa zake tu hakuna lolote and most of them wamepishana kama miaka ishirini hivi. wanataka babu afe waambulie chochote.
 
Wazungu wanapiga kotekote ndo maana, na weusi hawapendelei... Kingine Mziki wa weusi mzito,, watu wenyewe ni wadhaifu wale,,, we hujiulizi mzungu akipigwa na mweusi mara moja tu hamuachii?
Kwa taarifa yako HAO WANAWAKE WANANJAA NA NI WACHAFU
 
teh wanaume bana sasa kinachowafanya mkereke ni nini, si kila mtu ana haki ya kumpenda mtu anaemtaka
 
hawa dada zetu cultural imperialism inawapeleka puta kuanzia kuvaa kuongea kwa kubana pua kiswanglish you know you know kibao.hii yote ni kutokujiamini(inferiority complex)mfano mzuri ni hao wameru waliokuwa eatv ni vichefuchefu

Yaani kaazi kwelikweli . . . . . . .
 
Una uhakika. Ushasikia kuhusu sex tourists wanaoenda Ufilipino na South America? Ni waafrika waafrika au wadhungu??? Wameoa au wako single???

hivi huwa wanacheat? mzungu mnaachana live...huwa hawamix kwa muda mmoja...sio kama weusi mnapigisha foleni dsm kampala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom