Wanaume weusi. . . . . !!

Mna maana gani mnaposema wanaume weusi???hapa mnaongelea nini rangi au chimbuko???? Sijaelewa Eiyer nahitaji msaada tafazali.
 
Last edited by a moderator:
Hebu nisome tena Ndahani, labda utanielewa. Nimesema 'can' be.... , unaelewa tafauti na 'are'? Na that does nt exclude hao weupe kwenye disappointing business.
mmmh hao wanaume weupe utawatoa wapi kwanza..huna jeuri ya kukataa mzungu wewe piga kimya...sema huna bahati nao ..siku wakija kwenye anga zako ...hutocheua
 
Ugumu wa maisha, na fikira kwamba mzungu ana pesa nyingi. na kujiona super kama akiwa na mzungu. Bado mtindio wa ukoloni uko kwenye kwenye damu zetu regadless.
 
Hebu nisome tena Ndahani, labda utanielewa. Nimesema 'can' be.... , unaelewa tafauti na 'are'? Na that does nt exclude hao weupe kwenye disappointing business.

Sorry sikusoma deeply as it should be...nina hangover ya konyagi so sorry King'asti
 
Last edited by a moderator:
Year Eiyer alikuwa sahihi, wanaume weusi tukihisi tunaibiwa kinawaka kweli kweli na panakuwa ahaptoshi, lakini wanaume weupe aka wazungu mke anaweza kumegwa na akaja kumwambia mumewe kwamba alimegwa lakini hayakuwa mapenzi bali tamaa ya ngono tu na mume akasamehe na maisha yakaendelea.........Mke anaweza kumwambia mumewe....
"I just have sex last night with someone buti it was not love, just sex......"
Na mume akajibu.... "It is ok my love....."

Kwa M-bongo pangechimbika..............LOL
 
Last edited by a moderator:
Wazungu wanajua kupenda na kujali! Mzungu akipenda anapenda kweli ni ngumu sana kumkuta mzungu ana nyumba ndogo ila waafrica ptuuuuu!
Japokua kwenye yale mambo yetu ni dhaifu kidogo lakini ukija kwenye mapenzi ya dhati wazungu ni nambari wani!
#kama hutaki unaacha#
 
...hahahah Smile, kumbe nayo ni bahati mamii? mwe basi wengi wetu tumenyimwa!
ulikuwa hujui wanawake wengi hawana access na wazungu ...kuna mtu toka anazaliwa hajawai kutongozwa na mzungu hata siku moja yeye ni kugongana na kaka zetu tu wa hapahapa ...atasemaje hapendi wazungu wakati hata salamu tu ya mkaka wa kizungu hujawai pata?@kingasti my dear m,ambo?
 
Wazungu wanajua kupenda na kujali! Mzungu akipenda anapenda kweli ni ngumu sana kumkuta mzungu ana nyumba ndogo ila waafrica ptuuuuu!
Japokua kwenye yale mambo yetu ni dhaifu kidogo lakini ukija kwenye mapenzi ya dhati wazungu ni nambari wani!
#kama hutaki unaacha#
eheheee mimi sijawai kuwa na mzungu ila naamini wao ni the best....mnyonge mnyongeni lakini..
 
Year Eiyer alikuwa sahihi, wanaume weusi tukihisi tunaibiwa kinawaka kweli kweli na panakuwa ahaptoshi, lakini wanaume weupe aka wazungu mke anaweza kumegwa na akaja kumwambia mumewe kwamba alimegwa lakini hayakuwa mapenzi bali tamaa ya ngono tu na mume akasamehe na maisha yakaendelea.........Mke anaweza kumwambia mumewe....
"I just have sex last night with someone buti it was not love, just sex......"
Na mume akajibu.... "It is ok my love....."

Kwa M-bongo pangechimbika..............LOL
wanaume wewusi wengii mnajua kusex but wazungu huwa wanamake love..... kama una shida ya sex mweusi anafaa kama ni kumake love white man yooooooooo sijawai lakini....
 
yaani mimi huniambii kitu na black men! nawa-admire kuliko maelezo, yaani namzimika djimon hounsou kupita maelezo, those are the guys to hook up with! mi white men, NEVER! EVER! black men wana miche ya mninga sio mipodo, sekunde imepinda imeliwa na mchwa! haihuuuuuuu!
 
wanaume wewusi wengii mnajua kusex but wazungu huwa wanamake love..... kama una shida ya sex mweusi anafaa kama ni kumake love white man yooooooooo sijawai lakini....
hujui, hujapata the right man mweusi, wangu ni mpingo kama msouth sudan, anamake luv na kusex vyote, una lingine, ni mtamuuuuuuu asikwambie mtu! try have a blach man Smile, u wont regret!
 
Last edited by a moderator:
wanaume wewusi wengii mnajua kusex but wazungu huwa wanamake love..... kama una shida ya sex mweusi anafaa kama ni kumake love white man yooooooooo sijawai lakini....

Hahahaha leo Smile umeamuua..... kwa hiyo sie tunaopenda weusi tunapenda sex na si love making au ndo hatujui tofauti?

Hahha wakaka weusi leo mnalo, jiteteeni hapa hasa kwenye kujua sex na kumake love!
 
Hehehe! Na kweli mwanakwetu, huku kijijini nilipo mzungu pekee ni padri! Na anaogopa kunasishwa manake kikionekana kitoto shombe tu kitajulikana ni chake.

Niunganishie basi jamani weye mwenye bahati na mie.

Invisible, hebu tuwekee kitufe cha ku-reduce reputation plz!
mmmh hao wanaume weupe utawatoa wapi kwanza..huna jeuri ya kukataa mzungu wewe piga kimya...sema huna bahati nao ..siku wakija kwenye anga zako ...hutocheua
 
Last edited by a moderator:
Zinduna akakikuta unamwaga mchele kwenye kuku, utakoma! Utarudishwa mkoleni wewe, usimuamshe alielala! Mie wangu ni zaidi ya hao wazungu, aah! Mungu si athumani!
hujui, hujapata the right man mweusi, wangu ni mpingo kama msouth sudan, anamake luv na kusex vyote, una lingine, ni mtamuuuuuuu asikwambie mtu! try have a blach man Smile, u wont regret!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom