Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,341
- 51,907
Kwema Wakuu?!
Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao yalikuwa mwanaume mweusi kidogo, mrefu na mwembamba kiasi.
Lakini ajabu ni kuwa licha ya kupenda wanaume weusi wengi hawataki kuzaa watoto weusi, na wengi hujisikia vibaya kupata watoto weusi. Huku Wale waliopata watoto weupe wakijivunia na kujionea fahari kwa uzao huo.
Sisi wanaume weusi, wafupi na vibonge twende wapi?