Wanaume weusi. . . . . !!

Hao ni kasumba tu za kutawaliwa. Na ukweli ni kwamba wazungu huwa wanawafanyia mambo ya ajabu sana lakini wanakubali eti kwa sababu ni wazungu.

Hii inaweza kuwa ni post kama ya 4 hivi inazungumzia jambo hilihili,hebu wadada fungukeni kuhusu hii kitu!
 
kwani wanaume wa kiafrika hawarukishi ukuta, mbona wapo, mi nadhan kama walivyosema wengine ni njaa na tamaa za pesa ndio zinawafanya wadada hawa wawazengee wazungu, kwanza wengi wao wanaume wao hao wazungu ni vibab tena sura zao hazina maajab ni wa kawaida sana.
Wadada wengi wa kibongo wanakimbilia wanaume wa kidhungu kwa sababu wanapenda kurukwa ukuta.
 
Njaa zao tu, hamna cha kutojiamini wala wivu wa kijinga! Maisha yakishawashinda wadada wakibongo na ujinga wao wa kupenda mambo makubwa kirahisi, wanaona wakatokee kwa wazungu, mifano ipo tu, mmoja wapo FINA MANGO mtangazazi wa clouds wa zamani.
 
eheheee mimi sijawai kuwa na mzungu ila naamini wao ni the best....mnyonge mnyongeni lakini..
Wazungu wana uzuri wake lakini pia sisi weusi tuna uzuri wetu pia, depend na interests za mtu.
 
Ndugu yangu Yummy mwanamke wa kiafrika anaweka tamaa ya pesa mbele anataka aonekane mbele ya mashosti anasukuma usafiri mzuri, nyumba nzuri n.k unakuta binti ameolewa na kibabu kizungu kwa tamaa ya vitu hivyo kama nimapenzi kwa nini asiolewe na kibabu wa kiafrika?? kuna vibabu kibao vya kiafrika vinapenda dogo dogo ila kwa vile mafao yanamilikiwa na nyumba kubwa inakuwa ngumu kwa kibabu cha kiafrika kumhonga nyumba au gari kama mzungu.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani tuiweke hivi -- Wazungu wana uzuri wake (mapungufu kwao pia yapo), lakini pia sisi weusi tuna uzuri wetu (mapungufu yapo pia), depend na interests za mtu.
 
Wadada wengi wa kibongo wanakimbilia wanaume wa kidhungu kwa sababu wanapenda kurukwa ukuta.

Hapo umenena. Hakuna cha nyeupe wala nyeusi. Mademu wa kibongo wanakimbilia mshiko tu lakini wanaishia kulala kifudifudi yaani wanabadilishwa matumizi ya viungo. Yupo mama mmoja alipenda nyeupe akajengewa nyumba maeneo ya Mbezi Beach matokeo yake inabidi avae pampers kwa muda wa maisha yake uliobaki kuzuia mtiririko usiozuilika kutokana na kuharibiwa kiungo cha haja kubwa. Lakini wanapenda nyeupe shauri yao....
 
Njaa zao tu, hamna cha kutojiamini wala wivu wa kijinga! Maisha yakishawashinda wadada wakibongo na ujinga wao wa kupenda mambo makubwa kirahisi, wanaona wakatokee kwa wazungu, mifano ipo tu, mmoja wapo FINA MANGO mtangazazi wa clouds wa zamani.
ni mojawapo ya ujasiriamali
 
Jana nilikua natazama program ya mikas eatv.Wageni walikua Nakaaya na Nancy Sumary Nancy aliulizwa kuwa,ni kwa nini wanamitindo wengi boyfriend zao ni na wazungu,hakutoa jibu la kueleweka,lakini pia hata dada yake,Nakaaya ikaonekana ana kidume mweupe,kwani alipoulizwa alijiumauma. Serena Williams aliwahi kusema kuwa wanaume weusi hawajui mapenzi,hawajiamini na wana wivu wa kijinga.Mshirik wa BBA revolution,Mtanzania Elizabeth Gupta,aliwahi kuwaponda wanaume au vijana weusi,akadai hakuwahi kuwa na kidume mweusi,lakini nashangaa ameolewa na Kevin ambae ni mweusi! Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?Kuna ushahidi wowote wa kisansi wa kuthibitisha hili?Naomba ieleweke kwamba hao niliowataja hapo sio kipimo cha ufahamu au wao ni bora,hapana.Nimewatumia kama mifano kuelezea tatizo la kutokujitambu tulilonalo!

Hakuna chochote ninavyofahamu mimi......Hakuna natural attraction kati ya mzungu na mwafrika kimapenzi. Kinachotokea ni vichocheo vinavyotokana na tamaa na matarajio ya kupata material things. Kilichopo hapo ni Artificial Love.
 
Jana nilikua natazama program ya mikas eatv.Wageni walikua Nakaaya na Nancy Sumary Nancy aliulizwa kuwa,ni kwa nini wanamitindo wengi boyfriend zao ni na wazungu,hakutoa jibu la kueleweka,lakini pia hata dada yake,Nakaaya ikaonekana ana kidume mweupe,kwani alipoulizwa alijiumauma. Serena Williams aliwahi kusema kuwa wanaume weusi hawajui mapenzi,hawajiamini na wana wivu wa kijinga.Mshirik wa BBA revolution,Mtanzania Elizabeth Gupta,aliwahi kuwaponda wanaume au vijana weusi,akadai hakuwahi kuwa na kidume mweusi,lakini nashangaa ameolewa na Kevin ambae ni mweusi! Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?Kuna ushahidi wowote wa kisansi wa kuthibitisha hili?Naomba ieleweke kwamba hao niliowataja hapo sio kipimo cha ufahamu au wao ni bora,hapana.Nimewatumia kama mifano kuelezea tatizo la kutokujitambu tulilonalo!
Eiyer leo nimekupa like kwasababu unajitahd sana kuuchokoa mchokaa. Anyway binafsi sitaki kulichangia hili na siyo kwa nia mbaya bali nitagusa interest za watu fulani humu. But naamini utajifunza kitu ma lito bro.
 
Last edited by a moderator:
hivi huwa wanacheat? mzungu mnaachana live...huwa hawamix kwa muda mmoja...sio kama weusi mnapigisha foleni dsm kampala
nyie ndo wajinga wajinga na mnao amini kila mzungu ni tajiri nyambafu, eti hawamix unamfahamu Terry wa Chelsea? unamfahamu Ryan Giggs wa Man U.? hao si wazungu? huo ni mfano tu, waafrika wanamentalite za kijinga sana
 
tupo wangapi? tulizana
 
Black men this, white men that....really? In the 21st century you are still holding to these stereotypes?

The monumental stupidity and ignorance of some people in this thread is astounding and nauseating!
 
Smile nenda U Turn kule utatafutiwa babu wa kizungu ule pensheni yake uendeshe na Vogue.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom