Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,668
- 11,333
hawa dada zetu cultural imperialism inawapeleka puta kuanzia kuvaa kuongea kwa kubana pua kiswanglish you know you know kibao.hii yote ni kutokujiamini(inferiority complex)mfano mzuri ni hao wameru waliokuwa eatv ni vichefuchefu
Hasa dada mtu Kiswanglish kingi, ifike mahali TCRA iingilie kati kama mtu akiitwa kwenye kipindi kama ni kiswahili aongee kiswahili na english aongee english kuliko utamaduni huu wa kuchanganya. Maana watz jinsi tulivyo kukiwa kuna session inatakiwa iendeshwe kwa kiingereza utakuta mtu anachangia kwa english alafu anafika sehemu anaweka kiswahili kwa kusema ili kila mtu aelewe naongea kiswahili (wakipewa chance ya kuonyesha umahiri wa kiingereza utasikia wanajifanya kurudi lugha ya nyumbani ili kila mtu aelewe na wakipewa fursa ya kutumia kiswahili kuchanganya ndio kunakuwa kwingi.) Sidhani kama Tz tumefikia hapa tulipo hasa ukizingatia wale wanaoangalia wengi wao ni watu wa kawaida ambao tangu wamejifunza kiingereza darasa la tatu mpaka la saba hawajawahi kukitumia kabisa