Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

Shukrani Emmy basi kaambie BAK anataka kukaona kakiongea bila kujiziba mdomo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Sawa BAK nadhani kuanzia kesho kama tutakutana sehemu basi hakatoziba tena mdomo zaidi ya kuongea ili na wewe usikie kanasema nini.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwakweli hata mimi kumfukuzia mwanamke mda mrefu siwezi, siku ya kwanza tu akisema NO nami najisepea zangu sihangaiki tena
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hellow

Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia MTU anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena Huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.

I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...
halafu yule mama eti anataka turudi shule tukajifunze kutongoza,wanawake wenyewe hawa wa siku hizi akikuona tu umening`iniza funguo ya tu kiuononi wacha ya gari basi haishi kujipitisha pitisha wala hutumii nguvu kumpata.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hellow

Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia MTU anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena Huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.

I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...
Anakuwa ajapenda ndo mana haon any reason ya kuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ubembeleze siku mingi inakupa pesa hiyo kitu wakatii zipo nyingi tu tena tamu zaidi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimewahi fukuzia dem kama miaka mitatu..ila ulikuwa utoto!

Saizi sifanyagi huo ujinga...pesa zisumbue na wanawake nao wasumbue hapana!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
kuna mmoja juzi nimempanga akawa anaringaringa(sijui alitaka nimpigie magoti) akaniambia atanipa jibu,jana nimekutana nae kaniambia amekubali nikamwambia mi nlikua nakutania,alikasirika alafu nkajidai nlikua ninawai mahali.hawa viumbe hainahaja yakubembeleza sana akikubipu we piga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwaga nakula mambo kwa masaa machache au hata siku ikifika mwezi mmoja bila mapenzi motomoto nakata mawasiliano
 
Hellow

Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia MTU anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena Huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.

I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...
Hujui kupenda ww, huwa unatamani kusex tuu
 
Mwezi uliopita nimemtongoza mwanamke mwenzangu akaniambia anipe muda nikasubiri kama wiki naona majibu bado nikasema ngoja nimcheki akadai hajapata jibu nilimpa tusi hilo baada ya siku 4 akaniambia amekubali.
 
Mie ipogolo napenda demu aniringie kidogo. Miezi hivi kadhaa.
Nihangaike, nisote. Nihonge. Nimpe offer.
Siku akinikubalia najipanga haswa. Underwear safi.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mi mwezi tu kamausipo eleweka basi maana kama ukishindwa kunisoma nia yangu basi.koz mi nakuambia ukweli mwanzo mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sijui kwanini mabinti wa siku hizi wanakubali haraka yaani unagusa tu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mwezi uliopita nimemtongoza mwanamke mwenzangu akaniambia anipe muda nikasubiri kama wiki naona majibu bado nikasema ngoja nimcheki akadai hajapata jibu nilimpa tusi hilo baada ya siku 4 akaniambia amekubali.
[emoji15] [emoji26]
 
Back
Top Bottom