Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

Khaaaa mbona wanawashushia heshima dada zetu jaman...

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada zetu wa sasa hawajithamini. Sisi wanaume kuchombeza ni kitu cha kawaida.
Unasafiri na dada kwenye let say Bus from mbeya to Dsm. Ukichombeza. Mkifika ubungo terminal unaenda kulala naye.
Muosha rungu shahidi.
 
Mambo yamerahisishwa siku hizi halafu vijana wa siku hizi wote ni wajuaji!
 
Utongoze mda mrefu ili iweje?
Wakat demu ukimu approach inabidi ajiongeze kuwa anataka kupigwa dude
 
mapenzi y kweli ni nin hicho samahan lakin...naomba kuuliza
 
Mambo ya online dating.....
Warembo wamekua wengi kupindukia, unatongoza manzi then ukigeuka 2 pemben kuna chuma nyingine Kali zaid
So akizngua zngua, unapinduka Kama samaki..

Kingo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Utandawazi kaka.... Zamani barua zilikuwa hazifiki, akiikamata mtu anakula nayo kona.... We unajua mrembo kaisoma kumbe holla.... Zamani ukimtongoza mdada mpaka akaseme kwao kwanza, ko inabidi uwe mpole.... Ila wanaume wa zamani walikuwa na moyo wa uvumilivu mnoo..... Hongeraa zao
Labda kama hujawataka Mbona wanaume wazamani bado Wapo wengi tu kama kina kingwedu,senga, lipumba,jangala,pembe,magari na wengine kibao wewe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa siku hizi nao wamerahisisha huu mchakato manaake katoto ka kike kakishaona uko smart (So gentle) alafu uko charming flani for instance ukampa ka~offer ka lunch ukitupia maneno mawili matatu tayari.

Utasumbuliwa hadi utajuta kwa nini ulitupia maneno. Na siku zote principles za wanaume huwa ni "MARUFUKU KUTUPA MANENO YAKO" yaani kutongoza zaidi ya mara mbili kwa mwanamke yule yule alafu bado hakuelewi ni sawa na kutupa maneno yako au kutumia maneno kwa hasara.

Lakini kubwa zaidi mitandao ya kijamii more especially whatsapp, facebook, telegram, insta etc, etc, imeharibu mambo. Unamtongoza mtu siku ya kwanza kesho yake mnatumiana picha mambo tayari
 
Udengue dengue kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu ndiyo useme kama kweli unaitaka njoo uchukue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nisalimie hako kanyani kako. Kaambie nafurahia uwepo wake ila kaache matusi.

[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usijali BAK nitakapa salamu zako ila nikwambie tu ukweli kwamba hakajuagi kutukana na hakajawahi kutukana zaidi ya kufurahi pekee.

[emoji87] [emoji87]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hata usafiri tu umerahisishwa mkuu iweje hio kitu isirahisishwe
 
Back
Top Bottom