Okoyoko that is one option kwamba hakupendi.The other option ni kwamba she is a very morally sound lady who can't give in easily or she is trying to confirm the guys commitment and love towards her.The the latter were the type of ladies in the good old days.Siku hizi ladies ni maharage ya Mbeya.Ila expensive inaweza pia ikawa more expensive in the long run kuliko hiyo cheap, for eg unamfukuzia demu kwa muda mrefu ukidhani she is playing hard to get kumbe mwenzako hakupendi, akikosa options huko ndo anakuja kuolewa na wewe, sasa mara nyingi situation kama hizo mwishowe mwanaume analia kilio cha kusaga meno kwenye ndoa areafiftyone
Usinikumbushe, na ukipata zile google love quotes ndo umemaliza mchezosimu zimetufanya tumekuwa dormant wa kutongoza,ukipata namba tuu ushamaliza,my....my....nyiingi ndo basi tena
hahahaha sasa kwa nini utumie nguvu kubwa wakati mchina karahisishaUsinikumbushe, na ukipata zile google love quotes ndo umemaliza mchezo
Teh teh
Jesus is my saviour and a friend
Hivi kuna wa kunguza kilo na wa kupendwa eeeh, akili zenu mnazijua wenyeweukae muda wote huo unataka kugundua nini?? watu wasiojulikana au?! n hiyo inafanyika kwa wale ambao unawahitaji kwa ajili ya kupunguzia kilo tu.
"if she's worth it....a man can wait for far longer than u might think"
Wanawake wanafki sana anaweza kukusumbua ukazani huyu ndo mwanamke kumbe ni chenga tupu.Wanaume tutafute ela tuNa hiyo ndio sababu walio wengi wanaambulia magarasa kwa kukosa uvumilivu.
Ila saa nyingine kuringa ringa kuna raha yake bana.
[emoji3] [emoji3] mmenikumbusha mbali wakati npo shule ya msingi latano . mshikaji kaniagizia kwa demu nimpe ujumbe kuwa anampenda hahahaa nilpofka nikamwaga sera zangu tu. Nilporudi nikamuambia demu kakukubali sanaHahaha hapo unajifariji mambo yametiki kumbe mlengwa hata a b c zako hana
brain is the beautiful part of the body.
Tunapoteza muda kutafuta pesa na fursa za maendeleo na kutafuta wananwake ili kupata fursa za ngono.
Majibu matatu ya shortcut kwangu yanatosha hata uwe mzuri kiac gan ntakuona kaa kuny*c tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenivunja mbavu mkuu . wazee wa east africa .Siku hizi wanawake kibao, ukizinguliwa anaenda kwa mwengine, haya maswala ya kufuatilia dem, kama wazee wa East Africa community, wanavyofuatilia mafao yao yamepitwa na wakati na kama mshipa wa aibu umekatika utagonga mibibi mpaka majimama kwani siku hizi nao wanapenda vijana ni wewe tu.
[emoji3] [emoji3]Pole mwaya... Mie haikufika kwa mwalimu, wale walopewa waniletee si wakaisoma???? Nilitamani nisiende shule wiki nzima
Usipoteze muda kwa kutongoza ,poteza muda kwa kutafuta pesa, ukiwa na pesa tu wala hata hautongozi wenyewe tu wanakuja kirahisiHellow,
Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia mtu anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.
I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...
hahaha hakika!Hivi kuna wa kunguza kilo na wa kupendwa eeeh, akili zenu mnazijua wenyewe
Jesus is my saviour and a friend