Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

Utandawazi kaka.... Zamani barua zilikuwa hazifiki, akiikamata mtu anakula nayo kona.... We unajua mrembo kaisoma kumbe holla.... Zamani ukimtongoza mdada mpaka akaseme kwao kwanza, ko inabidi uwe mpole.... Ila wanaume wa zamani walikuwa na moyo wa uvumilivu mnoo..... Hongeraa zao
Nashukuru Mhenga mwenzangu. Nimefarijika kuskia wanaume wa wazamani tunasifiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utandawazi kaka.... Zamani barua zilikuwa hazifiki, akiikamata mtu anakula nayo kona.... We unajua mrembo kaisoma kumbe holla.... Zamani ukimtongoza mdada mpaka akaseme kwao kwanza, ko inabidi uwe mpole.... Ila wanaume wa zamani walikuwa na moyo wa uvumilivu mnoo..... Hongeraa zao
Umenikumbusha mbali sana. Niliwahi kuandikiwa barua kutoka ASHURA GIRLS afu ikaingia mikononi Mwana Mwl mnoko kuliko wote pale shule! Daah....! Nikipata muda ntakuja kumalizia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utandawazi kaka.... Zamani barua zilikuwa hazifiki, akiikamata mtu anakula nayo kona.... We unajua mrembo kaisoma kumbe holla.... Zamani ukimtongoza mdada mpaka akaseme kwao kwanza, ko inabidi uwe mpole.... Ila wanaume wa zamani walikuwa na moyo wa uvumilivu mnoo..... Hongeraa zao
tapatalk_1504169031782.jpeg

May Allah bless Me and You
 
Mara ya mwisho kutongoza ilikua ni mwaka 2012, nilitumia miezi minne mpaka mtoto akanielewa.
Siku hizi unachukua namba ya simu tu, stori za hapa na pale anakuomba hela unampa. Unamuambia aje home anakuja unapiga mzigo, kwisha kazi.
Sina mda wakutongoza tena
 
Mie ipogolo napenda demu aniringie kidogo. Miezi hivi kadhaa.
Nihangaike, nisote. Nihonge. Nimpe offer.
Siku akinikubalia najipanga haswa. Underwear safi.
siku zingine unavaa underwear chafu?!
 
Utandawazi kaka.... Zamani barua zilikuwa hazifiki, akiikamata mtu anakula nayo kona.... We unajua mrembo kaisoma kumbe holla.... Zamani ukimtongoza mdada mpaka akaseme kwao kwanza, ko inabidi uwe mpole.... Ila wanaume wa zamani walikuwa na moyo wa uvumilivu mnoo..... Hongeraa zao
Nakumbuka mie nilimtongoza mdada miezi sita wakati uwo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi uliopita nimemtongoza mwanamke mwenzangu akaniambia anipe muda nikasubiri kama wiki naona majibu bado nikasema ngoja nimcheki akadai hajapata jibu nilimpa tusi hilo baada ya siku 4 akaniambia amekubali.
Mwanamke mwenzako? Sijaelewa.

Naipenda JF
 
Yaani nakutext usipojibu imekula kwako,..ukijib naendeleza mtongozo..mko weeng sana tatzo
 
Back
Top Bottom