Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

Hellow

Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia MTU anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena Huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.

I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...
Wanawake wa sasa hawana maneno haya katika (seducing)
1: Hapana,Sitaki, No
2: Nipe muda nitakujibu
3: Nitafikiria
4: Nitasema kwa ( baba, mama, kaka,mwalimu, padri)
Ukimkonyeza kwa ukope unabeba. Ukimtext (I miss you) atajibu ( me too)
Wepesi sana. Maharage ya mbeya.
 
Umejibu vyema Emmy!

Nimekuelewa zaidi ya ulivyojieleza. Mwanamke bora si garasa, garasa ni bora mwanamke.

Ni kweli kuwa "wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu au wanawake wengi siku hizi ndiyo wepesi sana"?. Usemi upi ni sahihi?.
Wanawake ni wepesi sana. Hupati shida!
 
Ni mwanaume gani anaweza kumfuatilia mwanamke walau hata miezi sita bila kupewa jibu???!! Na uhakika hamna, huo mwandiko usikupe tabu comrade, ni kukufanya Uwe na shauku ya kupenda kusoma..

Naposema zamani ni enzi hizo nakuwa miee, miaka ya themanini, kipindi ukiambiwa wapendwa walia na kwenda kusema kwa mzazi
Ahsante kwa ufafanuzi.

Kwanini unatujumuisha?. Huoni kuwa kwa some extent haupo sahihi?. Pia kwanini uelemee upande mmoja kuwa "Hatuwezi kumfuatilia mwanamke kwa zaidi ya miezi sita"?. Hao wanawake wa kufuatiliwa kwa miezi yote hiyo kwani wapo?.

Binafsi nadhani wapo, tena wengi. Pia wanaume wa kumfuatilia mwanamke kwa zaidi ya miezi sita pia wamo. Si nidhamu bora ku-generalise mambo Comrade. Tujifunze katika hili.

Kuhusu uandishi, hunipi tabu hata kidogo. Ni katika muendelezo wa falsafa zangu pendwa tu za kusaili, kudadisi, kuchunguza, kutafiti na kadhanika chochote kile nikionacho, nikisikiacho, nikugusacho katika mambo anuai kadha wa kadha katika taswira upeo wangumdogo kulingana na Ilmu niliyoipata kutoka kwenye madesa ya kibwanyenye.

Kama una nia badili uandishi kwa maendeleo binafsi. Usipoona ina tija endelea kubaki static.

Hekima Ni Uhuru.
 
me nakupa wiki tu ukizengua naenda project nyingine

G.O.M.D
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hellow

Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia MTU anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena Huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.

I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...
Kumbe huwa wanatest ee. Hawakumbuki wao wengi mno. Mtu unatongoza tu usisahau mistari, hapo unakuta unamtongoza una makinikia mengine matatu umefikia hatua nzuri tu, ukiacha yule beibe wa kudumu. Hakuna mwanaume kamili single wakae wakijua (labda awe kaamua).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa sasa hawana maneno haya katika (seducing)
1: Hapana,Sitaki, No
2: Nipe muda nitakujibu
3: Nitafikiria
4: Nitasema kwa ( baba, mama, kaka,mwalimu, padri)
Ukimkonyeza kwa ukope unabeba. Ukimtext (I miss you) atajibu ( me too)
Wepesi sana. Maharage ya mbeya.
Khaaaa mbona wanawashushia heshima dada zetu jaman...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa ufafanuzi.

Kwanini unatujumuisha?. Huoni kuwa kwa some extent haupo sahihi?. Pia kwanini uelemee upande mmoja kuwa "Hatuwezi kumfuatilia mwanamke kwa zaidi ya miezi sita"?. Hao wanawake wa kufuatiliwa kwa miezi yote hiyo kwani wapo?.

Binafsi nadhani wapo, tena wengi. Pia wanaume wa kumfuatilia mwanamke kwa zaidi ya miezi sita pia wamo. Si nidhamu bora ku-generalise mambo Comrade. Tujifunze katika hili.

Kuhusu uandishi, hunipi tabu hata kidogo. Ni katika muendelezo wa falsafa zangu pendwa tu za kusaili, kudadisi, kuchunguza, kutafiti na kadhanika chochote kile nikionacho, nikisikiacho, nikugusacho katika mambo anuai kadha wa kadha katika taswira upeo wangumdogo kulingana na Ilmu niliyoipata kutoka kwenye madesa ya kibwanyenye.

Kama una nia badili uandishi kwa maendeleo binafsi. Usipoona ina tija endelea kubaki static.

Hekima Ni Uhuru.
Sawa
 
Back
Top Bottom