Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

Heshima Mkuu.

N'nani hao hawana mapenzi ya kweli?. Na unafahamu vipi mapenzi ya kweli?.

Hao wanaotaka kuonjaonja tu ni kina nani?. Anayeonja onja ni nani na pia nayeonjwaonjwa ni nani?.

Karibu tufunzane.
Tabia gani hii ya kuniingiza kwenye interview bila taarifa ? Punguza maswali tafadhali [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utandawazi kaka.... Zamani barua zilikuwa hazifiki, akiikamata mtu anakula nayo kona.... We unajua mrembo kaisoma kumbe holla.... Zamani ukimtongoza mdada mpaka akaseme kwao kwanza, ko inabidi uwe mpole.... Ila wanaume wa zamani walikuwa na moyo wa uvumilivu mnoo..... Hongeraa zao
Heshima, Comrade.

Hivi uandishi wa nukta nyingi kwa mpigo wakati mmoja (kila baada ya sentensi) umekaa vipi?, naomba unitoe tongotongo kwa hili. Ni uandishi nadhifu wenye kuzingatia miundo ya kisarufi pamoja na itifaki za kiuandishi?.

Pia uliposema, nakunukuu "Ila wanaume wa zamani walikuwa na moyo wa uvumilivu mnoo" umemaanisha nini?. Hivi sasa hakuna wanaume wenye mioyo ya uvumilivu?. Zamani ni lini?.

Asalaam.
 
ndo maana sisi wazamani tunapata shida kuishi kipindi hiki. tunaanzia mbaaaaali••°!! kumbe
 
Heshima, Comrade.

Hivi uandishi wa nukta nyingi kwa mpigo wakati mmoja (kila baada ya sentensi) umekaa vipi?, naomba unitoe tongotongo kwa hili. Ni uandishi nadhifu wenye kuzingatia miundo ya kisarufi pamoja na itifaki za kiuandishi?.

Pia uliposema, nakunukuu "Ila wanaume wa zamani walikuwa na moyo wa uvumilivu mnoo" umemaanisha nini?. Hivi sasa hakuna wanaume wenye mioyo ya uvumilivu?. Zamani ni lini?.

Asalaam.
Ni mwanaume gani anaweza kumfuatilia mwanamke walau hata miezi sita bila kupewa jibu???!! Na uhakika hamna, huo mwandiko usikupe tabu comrade, ni kukufanya Uwe na shauku ya kupenda kusoma..

Naposema zamani ni enzi hizo nakuwa miee, miaka ya themanini, kipindi ukiambiwa wapendwa walia na kwenda kusema kwa mzazi
 
Maamuzi ya mtu ni muhimu kuyaelewa , mm ukisema hapana hakuna kinacho endelea , kwz saivi papuchi nje nje kutongozana ya nn
 
Hellow

Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia MTU anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena Huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.

I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...
Hatutaki mchezo kwenye serious isues......[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla sijafungua nilijua tu kuna bonge ya swali.

Magarasa ni wale wanawake wenye tabia zisizofaa yaani walio wengi sio wanawake walio bora. Yaani ni bora mwanamke.

Mi mwenyewe nimekumiss sana aisee. Ila nimefurahi kuonana nawe.
Umejibu vyema Emmy!

Nimekuelewa zaidi ya ulivyojieleza. Mwanamke bora si garasa, garasa ni bora mwanamke.

Ni kweli kuwa "wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu au wanawake wengi siku hizi ndiyo wepesi sana"?. Usemi upi ni sahihi?.
 
Back
Top Bottom