Acha kuitusi kitimoto wewe, toka nimezaliwa hadi na utu uzima bado natumia na hakuna tatizo.
Usije kuwa mende wewe
Unafikiri mwanaume gani rijali anaweza kutumia muda wake kuyachunguza makalio ya mwanaume mwenzake? |
Bro kama umekuwa shoga usisingizie kitimoto, ushoga ni tabia zenu za kishenzi.
Anatafuta kisamvu cha kopo huyo. Wee vepeeKwanini unaangalia wanaume wenzio? Unakuwa unatafuta nini?
Au anatafuta wenzie kwa maana ndege wa aina moja huruka pamojaAnatafuta kisamvu cha kopo huyo. Wee vepee
Hahahahaaaaa mnafika mbaliKwa hyo we hata wanaume wenzako wakikupita au mkipishana nao unageuka kuwaangalia nyuma????
KWELI KABISA WALA KITI MOTO WENGI NI BALAA KWA KUTIKISAWenzako huwa wanauliza kwanza kabla ya kushutumu, au wewe unakula sana kitimoto??!., kama unakula, please, please, please acha, kama hujui hiyo ni nyama hatari sana kwa afya ya binadamu, ushoga ni moja ya hatari zinazoambukizwa na ulaji wa kitimoto.
Watu wanafuata mkumbo tu. Hao watu kweli Wapo Ila upande wangu nadhani sababu ni mbili kuu kwa Pamoja. Kwanza maumbile kutokana na vyakula wanavyokula na pili ni fashion za siku hizi suruali "bwanga" hakuna tena, ni mwendo wa "modo" tu.Na hii ndio Jf ya siku hizi yaani akishapost wa kwanza against basi mtiririko ndio utakuwa huo mpaka mwisho.
Tubadilikeni bana sababu wapo hao watu.
Kaipunguze weweMijinga sana hiyo mijamaa inayomponda mleta uzi.Yaani midume siku hizi ina mitako mikubwa kuliko dada zao.