Wanawake wa kileo zaidi ya 99% wanaongeza makalio na matiti, ogopa matapeli!

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Shalom! Kuna msemo eti wanawake wa zamani hawakuwa na makalio ila wa sasa wana makalio. Ni kweli, zamani walikuwa hawajui kujibinua na pia mavazi yalichangia, kwani walifundishwa kuvaa mavazi ya staha.

Labda niseme, hata wewe mwanaume ukivaa mavazi ya kike na kujibinua tutakutamani tu na wenye mioyo migumu watakulala. Makalio ya mwanamke na mwanaume yana ukubwa sawa unless mwanamke asipoyabusti.

Wapo wanawake wenye makalio makubwa na wanaume vile vile. Zidi ya 98% ya wanawake unaowaona kuwa na makalio makubwa iwe hapa DSM na mikoani, ni fake siyo OG. Na dalili za kuyatambua ni kuwa yanakuwa yamekomaa magumu kama jiwe, haya wiggle. Jua hayo ni bandia! Wengi wa wadada wa mjini makalio yao yapo hivi.

Kuna siku nilimuwashia mtu moto, yaani akivaa dera tako ni kubwa mno, sasa kufika lodge namvua natomasa naona tako gumu balaa, nalichapa chapa litetemeke ila tangu lilivyonuna, halitaki hata kusikia. Nimefanya mapenzi hakuna ladha kabisa, natomasa matiti magumu hata hayaeleweki. Nilimuwakia sana, na sikumtafuta tena.

Hata wewe mwanaume ukiongeza makalio kwa madawa yatakua tu, na ukivaa mavazi ya kike utasifiwa na miruzi utapigiwa.

Pia matiti yanachangia, wanawake wanapovaa nguo matiti yanabana nafasi na kusababisha nguo kutengeneza upinde, na kujivuta mbele. Hii moja kwa moja inavuta nguo kutoka makalioni kuja mbele na kuonekana kama makubwa kitu ambacho siyo kweli.

Hata wewe mwanaume ukiweka vifuu vya nazi kifuani na kuvaa dera au jeans na shati, utatokelezea tu. Pia wanawake zaidi ya 99% wanajibinua wakitembea, ni ngumu kujua kwa sababu wanavaa nguo, ila wanajitesa sana.

Kuanzia sura, makalio mpaka matiti siku hizi zaidi ya 98% wanawake wanaongeza matiti, na makalio ya kuongeza yanakuwa magumu, hayatikisiki na hayana ladha kwenye mechi, mara mia upate kimbau mbau tu kuliko wanawake wa hivi, utajilaumu sana.

So that's what it is!
 
Back
Top Bottom