Wanaume wa kisasa na kutingisha makalio

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
8,784
Points
2,000

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
8,784 2,000
Wadau kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume,unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake,sasa ngoja aanze kutembea ndio utaona hilo balaa.Sina uhakika hii inatokana na aina ya mavazi wanayovaa,ni fashion au ndio maumbile ya vijana wa kiume wa siku hizi ambayo inatokana na vyakula wanavyokula....?
 
msemakweli2

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
1,525
Points
2,000

msemakweli2

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
1,525 2,000
Wadau kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume,unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake,sasa ngoja aanze kutembea ndio utaona hilo balaa.Sina uhakika hii inatokana na aina ya mavazi ndio husababisha,ni fashion au ndio maumbile ya vijana wa kiume wa siku hizi labda inatokana na vyakula wanavyokula....?
ni mikogo tu mkuu,maisha yenyewe yashakuwa magumu haya
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
5,785
Points
2,000

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
5,785 2,000
Wadau kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume,unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake,sasa ngoja aanze kutembea ndio utaona hilo balaa.Sina uhakika hii inatokana na aina ya mavazi ndio husababisha,ni fashion au ndio maumbile ya vijana wa kiume wa siku hizi labda inatokana na vyakula wanavyokula....?
Mbona kama unazunguka saaaaaaaana....... si uende straight kwenye kiini cha mada yako???
 
Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
60,526
Points
2,000

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
60,526 2,000
Wadau kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume,unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake,sasa ngoja aanze kutembea ndio utaona hilo balaa.Sina uhakika hii inatokana na aina ya mavazi ndio husababisha,ni fashion au ndio maumbile ya vijana wa kiume wa siku hizi labda inatokana na vyakula wanavyokula....?
Kwanini unaangalia wanaume wenzio? Unakuwa unatafuta nini?
 
Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
5,219
Points
2,000

Ileje

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
5,219 2,000
Wadau kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume,unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake,sasa ngoja aanze kutembea ndio utaona hilo balaa.Sina uhakika hii inatokana na aina ya mavazi ndio husababisha,ni fashion au ndio maumbile ya vijana wa kiume wa siku hizi labda inatokana na vyakula wanavyokula....?
Bila shaka wewe ni mmoja wao!
 
Forum statistics

Threads 1,343,528
Members 515,078
Posts 32,787,526
Top