Wanaume wa kisasa na kutingisha makalio

Acha kuitusi kitimoto wewe, toka nimezaliwa hadi na utu uzima bado natumia na hakuna tatizo.


Hata mvuta bangi ukimuambia aache bangi naye huzungumza hivyo hivyo, eti utasikia akisema; "mimi nimeanza kuvuta bangi tangu nikingali mdogo hadi umri huu mbona haijanizuru!!"--- hapo hapo ukienda hospitalini 50% ya wagonjwa wa akili ni wavuta bangi (bangi ndiyo sababu).

Kitimoto ni mfano huo huo wa bangi, maana yake ni hii; sio kila mla kitimoto hupata athari ya ushoga moja kwa moja, inachukua muda na pia inategemea na jinsi unavyokula (kiwango na muda). Huku kwetu Africa hatuli kitimoto bali tunaonja tu, wanaokula ni wazungu na Wachina, wafilipino nk.
 
Bro kama umekuwa shoga usisingizie kitimoto, ushoga ni tabia zenu za kishenzi.


Mkuu, Kama mimi ningekuwa shoga ningenyamaza tu kimya wala nisingeongea neno, mbona unapanic hivyo.
Najua wewe ni mtumiaji mkubwa wa kitimoto na labda jambo hili ninalosema ndiyo mara yako ya kwanza kulisikia na bila shaka hukutegemea na.mbaya zaidi wewe unadhani kwamba mimi ninadhihaki.

Angalia, katika Wanyama wanaokaribiana sana na binadamu katika ulaji ukiwaondoa jamii ya nyani na sokwe ni nguruwe, nyama ya nguruwe ipo karibu sana na nyama ya binadamu na inasemwa kuwa mtu akila nyama ya binadamu ni shida sana kuiacha na ndivyo ilivyokuwa kwa watumiaji wa kitimoto.

Katika wanyama ni nguruwe pekee ambao ukiwaweka madume wawili pamoja yatafanyiana USHOGA kwa ridhaa zao wenyewe licha ya kuwepo majike, hivyo basi mtu anayekula sana nyama ya nguruwe anayo hatari ya kuambukizwa hiyo tabia kwasababu wataalamu wa lishe na chakula wanasema "you are what you eat" ,yaani miili yetu hujengwa/huwa na sifa za vyakula tunavyokula.

Katika wanyama wote ni nguruwe pekee anayekula watoto wake anaposhikwa na njaa, mla nguruwe anaweza kuua mwanaye kwa ajili ya manufaa ya kidunia, mfano akienda kwa mganga akaambiwa dawa ya utajiri ni kuua mtoto wake kuua kwake itakuwa ni rahisi kwasababu anakuwa na silka ya kutokupenda watoto kwa manufaa ya kidunia, Nguruwe dume hana wivu kwa jike lake kama ilivyokuwa kwa wanyama wengine mfano Mbuzi, kuku, ng'ombe nk, hivyo basi wala kitimoto wanayo sifa hiyohiyo, mfano mlakitimoto akiambiwa mkewe anagegedwa na mti fulani yeye ni muhali sana kuchukua hatua.

Nguruwe ukimpatia vyakula vya aina mbili, kimoja kikiwa mzoga unaonuka (stinking carcass) na kingine labda ni pilau kwanza lazima ale mzoga unaonuka halafu kama hajashiba mzoga ndipo aje ale pilau, hii ni ishara kuwa nguruwe ni mnyama wa jamii ya fisi kazi yake ni kula vitu vichafu na mizoga (scavenger).

Nguruwe ni mnyama mwenye maradhi mengi sana, ya minyoo nk, pia digestive system yake ni poor kiasi kwamba chakula anachokula hutengeneza sumu ambayo huchujwa na kuingizwa kwenye mafuta sumu hiyo hufanya kazi ya kumlinda na sumu za nyoka nk, ndiyo maana nguruwe hata akigongwa na nyoka hadhuriki kutokana na hiyo sumu yake, mtu anayekula kitimoto naye hula hiyo sumu na ndiyo maana kuna baadhi ya watu wakila kitimoto maramoja hupatwa na mapele ya kutisha kwasababu miili yao haina kinga ya kuhimili sumu iliyomo katika nyama ya kitimoto.

Kwakuwa kitimoto ni mnyama anayeshabihiana na mwanadamu katika utendaji kazi wa baadhi ya mifumo basi wataalamu wa tiba wanafanya utafiti na imeonekana kuna maendeleo ya kuridhisha kwamba baadhi ya viungo vya nguruwe vinaweza kutumika katika tiba ya viungo kwa binadamu ,mfano, viungo kama, macho, inni,figo, mapafu, kongosho, Bandama, nk.--- hii inaonyesha kwamba kazi nyingine ya nguruwe ambayo Mungu amemuumbia ni hiyo ya medical purpose.

Kifupi nguruwe hafai kuliwa na binadamu. Hivyo rafiki yangu usikasirike baada ya kupata ujumbe huu, jaribu kutafakari bila kinyongo na uamue, hii ni nasaha tu kwako na kwa wengine.
 
Kama unamifupa mitupu ulitaka utingishike kivipi?hawatingishi mwili unatingishika maaskari mwenyewe wanatingishika kamwangalie lugola anavotembea pamoja ni askari ila mtikisiko upo
 
Na hii ndio Jf ya siku hizi yaani akishapost wa kwanza against basi mtiririko ndio utakuwa huo mpaka mwisho.

Tubadilikeni bana sababu wapo hao watu.
Watu wanafuata mkumbo tu. Hao watu kweli Wapo Ila upande wangu nadhani sababu ni mbili kuu kwa Pamoja. Kwanza maumbile kutokana na vyakula wanavyokula na pili ni fashion za siku hizi suruali "bwanga" hakuna tena, ni mwendo wa "modo" tu.

Ukiunga hapa utapata jibu la mada mezani.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom