Wanaume wa kindigo

Wanaume wa kindigo

Jewel

Senior Member
Joined
May 1, 2008
Posts
181
Reaction score
66
Hallow tafadhali anaefahamu tabia za wanaume wandigo kutoka mtwara katika mapenzi anijuze
 
ndo kazi tulobakiza kujuzana!!!! mmh haya jamani mjuzeni!!
 
Wanaume wa kindigo au kidigo? Kama kidigo karamkazi!!!
 
hivi kweli badala ya kujiuliza hili jini ccm litatutoka lini halafu wewe unaaanza kuuliza habai za wanaume wa kidigo!!!! kuna mambo mengi ya kuuliza wana jf ala!!!
 
umeona eeeeee!...nafikiri ndio style ya cku hizi,..mara kesho utasikia mtu anataka kuja tabia za kikwere
mi ntamuomba md awatengee nafasi yao ya kujuzwa tabia za wanaume wa kabila flani maana du!!
 
The Ngindo are an ethnic and linguistic group based in east-central Tanzania, south of the Rufiji River. In 1987 the Ngindo population was estimated to number 220,000

Digo (Chidigo) is a Bantu language spoken primarily along the East African coast between Mombasa and Tanga by the Digo people of Kenya and Tanzania. The ethnic Digo population has been estimated at around 360,000 (Mwalonya et al. 2004), the majority of whom are presumably speakers of the language. All adult speakers of Digo are bilingual in Swahili, East Africa's lingua franca. The two languages are closely related, and Digo also has a lot of vocabulary borrowed from neighbouring Swahili dialects.
 
hivi kweli badala ya kujiuliza hili jini ccm litatutoka lini halafu wewe unaaanza kuuliza habai za wanaume wa kidigo!!!! kuna mambo mengi ya kuuliza wana jf ala!!!
tedo @ hawa ni wa kucharazwa tu bakora za masabulini!!
 
Namshangaa sana mtu anaeuliza mwanaume/mke wa kabila flani yukoje ktk mapenzi. C ujiachie kwake ujifunue ukae kama vile ***** ndo umfaham jinsi alivo?
 
kuna usemi unasema mdigo mzigo, wanaume wengi wa kidigo wanaenda kulelewa\kuolewa na mijimama nina mifano km sita hapa town ya wadigo wanatunza na mijimama.
 
Great thinkers of tanzania discussing the tribe characters! Ohhh this is a real invasion in jf!please ban this!
 
jamani mwenzaenu kapata mwanaume wa huko na anataka kujua tabia zao.msaidieni mwenzenu kwani kuuliza si ujinga bali ni kuondoa ujinga.
 
Sijaingia mitini ni mgindo wa lindi
 
Back
Top Bottom