Maeneo ya kufugia Mkoa wa Pwani

Maeneo ya kufugia Mkoa wa Pwani

SILLENT KILLER 2

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2024
Posts
828
Reaction score
1,564
Wakuu habari za muda huu.Nilikuwa naomba kufahamu kuhusu upatkanaji wa maeneo kwa ajili ya kufugia mifugo kama mbuzi na ng'ombe.

Sehemu ninayohitaji iwe kama pori ambako nitaweza kuintaract na wafugaji wenzengu yani yale maeneo ya ndichi.

Kwa anaefahamu anijulishe.no 0623297330
 
  • Thanks
Reactions: al1
Back
Top Bottom